Search results

  1. Mtanzania haswa

    Migodi hatarini kufungwa kufuatia agizo la Rais Magufuli

    Jf is no more of great thinkers if one can argue like this
  2. Mtanzania haswa

    Kuna Mtu Anajitapa: Tumtajie Wauza Madawa wakubwa

    Jk sialisema anayolist, kwani hakumuachia mezani
  3. Mtanzania haswa

    Bomoa bomoa yavaa fukwe za Mbezi Beach; Kuacha kilio kwa matajiri wavunja sheria!

    Mbona wameanzia mbali wakati sinza open spaces 90% zinahodhiwa na ccm kwa mabavu
  4. Mtanzania haswa

    Nimetumiwa email ya kazi na hili shirika, The Global warming Policy Fund (GWPF)

    Shirika ambalo ni la kimataifa linaitwa Grobal Warming Policy Foundation na sio Policy Fund. Na mala nyingi mashirika yanakua na website. Shilika lenye web ni Grobal Warming Policy Foundation (GWPF) Na sio hilo lako.
  5. Mtanzania haswa

    Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Kweli nimeamini jina linaumba, kama jina lako lilivyo ndivyo akili pia ilivyo. We ni jinga jinga jinga lao kabisa...
  6. Mtanzania haswa

    Morogoro: Magufuli - Elimu Bure kuanzia Msingi hadi Kidato cha Nne; Makamba awavaa Lowassa, Sumaye

    Makamba anasema eti kwenye ile list ya mafisadi 12 Lowasa alikua namba tatu hivyo Hafai. Anasahau kuwa 11 bado wamo CCM hahaahaha. Babu kazeeka vibaya hadi akili imezeeka. Na fisadi namba moja alikua amekaa naye pale pale bila aibu anamshambulia Lowasa hahahahaha
  7. Mtanzania haswa

    CCM waumbuka Uwanja wa Taifa, Makamba akumbana na nguvu ya UKAWA

    Na kama alikua anataka kutest CCM inakubalika vipi amepata majibu yake Jana, uwanja mzima ulilipuka lowasa, lowasa,lowasa, peopleeees....Watanyooka tu
  8. Mtanzania haswa

    Duh! Hii ni hatari

    Du haya sasa sio mahaba ni "MAHUBA"
  9. Mtanzania haswa

    Baadhi ya vijana wa Chadema mkoani Mwanza wakichana kadi za Chadema

    Mkuu mbona hutoi habari kamili? Mbona husemi hao vijana unaodai ni wa chadema walipotoka pale kwa mkuu waa wilaya wakavuka barabara na kwenda pale garden wakasema wao wamepewa pesa yao na wametimiza wajibu wao ila kura zao ni kwa Lowasa na tens mbele ya waandishi wa habari wa star TV, ila cha...
  10. Mtanzania haswa

    Nani atumike kuzuia mafuriko

    Namna pekee ya kuzuia mafuriko haya ni kumrudisha Lowasa CCM
  11. Mtanzania haswa

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    suala hapa ni time frame ya kujenga hivyo viwanda kwa kipindi cha yeye kuwepo madarakani (kama atakuwa rais though). decision to invest ni mwaka 2019/2020 na yeye atakuwa na kipindi cha miaka 5. sasa niambie hiyo haitakuwa ahadi hewa? atarudi tene Mtwara kuomba kura kwa sera ipi? wakati watu...
  12. Mtanzania haswa

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    Jibu hoja yangu mkuu mie siumwi hata kidogo nadhani we ndo utakua unaumwa badala ya kujibu hoja unaandika huu ujinga kama sio kulukwa akili ni nini?
  13. Mtanzania haswa

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    nakubaliana na wewe kabisa, sasa niambie hivyo viwanda tunavyoambiwa vitajengwa mtwara katika kipindi cha miaka mitano ni vipi ilihali gas and oil decision to invest will be in the year 2019/2020? Suala la kujua kiwango cha elimu yangu sio hoja hapa.
  14. Mtanzania haswa

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    Nimequote hiyo paragraph sababu nina hakikika kuwa hakutakuwa viwanda vingine mtwara tofauti na Dangote cement ambavyo vitajengwa kabla ya uhakika was oil and gas. Na hii ndio itamtoa magufuli 2020 endapo atapita huu mwaka. Kwa nini nasema hivyo? Ni kuwa nimewahi hudhulia moja ya workshops za BG...
  15. Mtanzania haswa

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Kwani unajua atakachokionge ama ushapata desa?
  16. Mtanzania haswa

    Rais Kikwete kuzindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa

    Hahahaha...Lowasa anawatoa jasho kwelikweli wazee wazima kutwa hawalali ni kusikiliza tu Leo lowasa kasema nini wanasahau kumuuza mgombea wao
Back
Top Bottom