Wanachokifanya sasa hivi ccm kutaka kufanya kila wawezaloo kuludisha imani kwa wananchi
Dulu zinasema umaarufu wa chama cha mapinduzi ulipunguaa kwa zaidi ya asilimia 65 kwa miaka 6 iliopitaa na ccm wametumia matokeo ya tafiti hizo hata kuendesha uchaguzi
Nakupa mfanoo ndio maana kwenye...
Wakati jakaya kikwete akitumia ndege ya serikali kwenda dodoma kwa kazi za chama
Leo magufuli ametumia barabara kwenda dodoma kulihutubia bunge sasa najiulizaa
Je ni kubana matumiz au jakaya ndio rais wa nchi na magufuli ni nani
Maana sio mantiki hapa
Njombe mjini kimenuka,kuna gaari ya ccm imezingirwa sna vijana wa chadema wanasema wameiona ina mabox ya kura yenye kura ndani yake ambazo zimeshapigwa tayari. Polisi wametaka kuichukua,vijana wamegoma wamesema wataichoma moto kwahiyo wanatakiwa kushusha maboksi palepale. Watu wamefunga maduka...
Katika hali ya sintofahamu ni pale mgombea ubunge wa vunjo augustino lyatonga mrema alipohamua kumnadi magufulii
Najiuliza sasa mgombea urais wake akienda atasemajee
Kweli kuzeeka kukongorokaa
Katika hali ya kulipa fadhila.baad ya kufanikisha mpango wa ccm kupewa pesa na chama cha walimu
HONORATA CHITANDA KAIMU KATIBU MKUU CWT NA MOHAMED UTALLY MHAZINI CWT wameteuliwa kuwa madc
Kwa umri wangu nilionao nimefanikiwa kudodosa haya kuhusu kingunge na nn kaifanyia nchi kwa miaka 61.
Nakumbuka kingunge ndio alikuwa katibu wa kamati ya uandishi wa katiba ya cmm 1976.
Nakumbuka kingunge ndio alikuwa katibu wa kamati ya kuandika katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania mwaka...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.
Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni;
Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.