Search results

  1. Ntaluke.N.

    Ndoto zinanisumbua

    Siku ya kwanza nimeota nakula kumbikumbi,siku inayofuata nikaota na kula senene,pia nimekuwa nikiota nakimbikizwa na nyoka mara kwa mara.Naomba mwenye uelewa na hizi ndoto anieleweshe.Natanguliza shukrani.
  2. Ntaluke.N.

    Msaada: Hospitali nzuri ya macho Mwanza

    Wanajamvi naomba msaada wa hospitali yenye huduma nzuri Mjini Mwanza.Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom