Search results

  1. R

    Elections 2010 Saa 10 kamili: mwisho wa uchaguzi 2010

    ndio kuweni macho jamani. tunawategemea nyie mliko huko bongo fanyeni maamuzi yenye mafanikio kwetu na vizazi vyetu ktk kipindi hiki cha miaka 5
  2. R

    Elections 2010 Mawakala wachadema kuweni macho

    chonde chonde watanzania mlioko nyumbani, msituangushe jamani. tumieni fursa hii kufanya maamuzi makuu. maamuzi yatakayotupa faraja sisi na vizazi vyetu kwa kipindi cha miaka mitano ijavyo. Mwaona jk anavyotaka kufanya tanzania kuwa kingdom?? Hatima yetu iko mikononi mwenu leo,nyie mlioko...
Back
Top Bottom