Mawakala wachadema kuweni macho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawakala wachadema kuweni macho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by rastman, Oct 31, 2010.

 1. r

  rastman New Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chonde chonde watanzania mlioko nyumbani, msituangushe jamani. tumieni fursa hii kufanya maamuzi makuu. maamuzi yatakayotupa faraja sisi na vizazi vyetu kwa kipindi cha miaka mitano ijavyo.
  Mwaona jk anavyotaka kufanya tanzania kuwa kingdom?? Hatima yetu iko mikononi mwenu leo,nyie mlioko nyumbani.
  waelimisheni mawakala jamani.. wasitoke nje wote.
  washikaji wamejipanga kuiba kwa njia yoyote.
  kwa hiyo kuweni makini.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Muda huu ndipo zahma inakwenda kutendeka....Washindwe!
   
 3. c

  chanai JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Washindwe kabisa.
   
Loading...