Kwa wale wanaopenda kusoma hii ni summary ya hiyo project iliyopigwa teke na serikali kwa sababu za mazingira kuwa ungemaliza maji ya mto Wami na wanyama kukosa maji. Serikali ilikuwa iwape title deed ya shamba la RAZABA liliokuwa ni ranch ya Zanzibar kama holding ground ya ngombe walionunuliwa...
Nakumbuka pia msemaji wa Ikulu aliwahi kutoa tamko kuwa Serikali ya China imetoa Dola Bilioni 7 kujenga reli ya kisasa. Hivi iliishia wapi sababu baadae wachina walikanusha
Nimeshangazwa sana na maelezo ya Waziri Mkuu bungeni kuhusu mradi wa sukari Bagamoyo. Ya kuwa utamaliza maji kwa ajili ya wanyama wa mbuga Saadani. Eneo la mradi lipo kusini mwa mto Wami wakati mbuga inapakana na mto kaskazini. Kiutaalam hoja hii haina mashiko hata kidogo. Tafiti zote na...
Hii habari ya wafanyakazi hewa siyo mpya katika nchi za kiafrika.
Ukisoma habari utaona Nigeria walikadiria kuwapo wafanyakazi hewa kama 24,000.
Kenya wao mwaka 2014 walilivaa tatizo hili kisayansi zaidi walipofanya biometric registration kwa wafanyakazi wote wa serikali wakagundua wafanyakazi...
Has anyone read from one of still living scientists Mr. Stephen Hawking's views on afterlife? You can google and read about him. Here is an extract:
Hawking has stated that he is "not religious in the normal sense" and he believes that "the universe is governed by the laws of science. The laws...
Mradi wa Bagamoyo haukuwa na tija yoyote zaidi ya matakwa ya mtawala asiyeambilika.
Priority ya bandari za Tanzania ni:-
1. Dar 2. Tanga 3. Mtwara then zinafuata nyingine
Bandari ya Dar haijawa exploied to the maximum na tatizo la kuondoa na kuhifadhi containers lina ufumbuzi ambao haujafanyiwa...
Hakuna haja kuhojiana na wezi wa mali ya umma.
Wanataka kuhalalisha ujambazi waliofanya wa kunyakua shirika la umma na kujimilikisha mali zake kifisadi ili waweze kufanyia biashara miundombinu iliyojengwa pia kwa fedha za umma.
They are just criminals.
Serikali ya awamu ya tano inatakiwa...
Nchi hii haiwezi kubadilika kikweli kweli bila kuondoa huu mfumo wa CCM.
Baraza lote la Mawaziri sioni ubunifu wowote.
Sana sana watangoja kuambiwa na Magufuli wafanye nini.
Hapa ndipo umuhimu wa Katiba mpya unapoonekana.
Katika wabunge ni wachache sana wenye sifa za kuwa mawaziri.
Wabunge...
Kama tungekuwa na akili kama Nyerere tusingemilikisha biashara ya chakula kwa waarabu na wahindi. Wamefanya monopoly kutokana na ujinga wetu pamoja na kukwepa kodi sasa wapo kwenye list ya mabilionea duniani
Wajinga haswa ni wale walioamua kuzungusha mikono na kuropoka mabadilikoooo...Lowassa....Lowassa...mabadilikooo! Hao ndio wajinga wa [I]kupindukia
Haiyumkini wewe ni kundi la pili la wachache wanaofaidika na mfumo
Mtu asiyeelewa umuhimu wa upinzani aidha hajitambui au ni fisadi anayefaidika na mfumo uliopo. Hapa Tanzania watu wa lawaida wasioelewa maana ya upinzani ni wale wajinga waliotengenezwa na mfumo ambao ni wengi ma wapo zaidi vijijini au mikoa isiyojielewa. Kundi lingine dogo ni lile linalofaidika...
Kawambwa alikuwa waziri mzuri zaidi ya Magufuli akiwa Miundombinu.
Kawambwa pamoja na mawaziri waliomtangulia, Mramba na Chenge walimpa uhuru wa kutenda Mtendaji Mkuu wa TANROADS kutekeleza majukumu yake. Ni kipindi ambacho TANROADS ilishuhudia ufanisi mkubwa kupanga na kutekeleza miradi mingi...
Huwezi kutenganisha dini na siasa.
Ndiyo maana hata Yesu Kristo alipambana na wanasiasa mwishowe wakamsulubisha ile maandiko yatimie na ukombozi wa mwanadamu ukapatikana.
Gwajima ni mmoja wa viongozi wachache wa kiimani hapa kwetu anayethubutu pambana na dola hii kandamizi bila woga.
Au mmesahau...
Ni kweli.
Jenerali lazima amsapoti ndugu yake Magufuli hata kama zamani alikuwa mpinzani.
That is natural.
Wanatoka eneo moja kona ya kaskazini magharibi ya nchi. Wenyeji wengi pale in wahamiaji kutoka Rwanda na Burundi.
Lakini wote nia raia halali wa nchi hii
Katika dunia ya leo huwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.