Search results

  1. A

    Serikali ingewaacha CHADEMA waandamane ingekuwaje?

    Nimejaribu kufuatilia kwa karibu mambo yanayotokea kufuatia CDM kuamua kuandamana kupinga mwenendo wa BMK nimejikuta ninapata shida kuamini kuwa nchi yetu ina intelijensia iliyo makini. Sidhani kama kuazimia kuandamana ni kosa. Bila shaka ni vibaya kuandamana bila kufuata utaratibu. Nimeshangaa...
  2. A

    Amatus Liyumba Ashinda Kesi ya kukutwa na simu Gerezani

    MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na...
Back
Top Bottom