Sarri ana tatizo gani ?timu ina create chancs kibao tatizo forward zenu butu bana mwacheeni Maurizio wawatu aendelee kupiga Embassy zake tu mmetengeneza nafasi sawa na manchester city mpaka now ila finishing mbovu alafu mnamlaumu Sarri labda umlaumu kwa kumleta fat alvaro Morata na kutokutafuta...
Box to Box sio namba 6 bali katika mfumo wa namba ni kama 8 ila anafany kukaba(box lake) na kushambuli(box la maadui) yani anazurura baina ya box lake na la maadui timu pinzani
Kante sio namba 6 na hawezi cheza io namba
Toka leicester(namba 6 alikua Drinkwater) na hata msimu ule Chelsea anabeba ndoo (namba 6 alikua Matic) yeye ni always box to box ila anajua kukaba pia lakini ukimpanga Kante namba 6 basi utakua unajitaftia matatizo ila box to box Kante ndio best...
Possible line up ya kesho IMO
Though hakuna siku ambayo nitakua happy kama siku Keita atakapo kuja chezeshwa kwenye natural position yake ambayo ni CM Klopp amekua akimchezesha kama LM au sometimes as a Winger Keita ni Box to Box na ndio amefanya Best performances zake akiwa RB leipzig but...
Granit Xhaka has now made more errors leading to goals in the Premier League (5) than any other outfield player since the start of last season.
Awful clearance. [emoji320]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.