Search results

  1. P

    CCM ikishindwa kwenda na kasi ya Magufuli, imekwisha!

    Magufuli aipiga CCM na wafadhili wake bao la mkono. Imethibitika katika mitandao ya WhatsApp na mengine mengi kwamba wale makada wa CCM na wafadhili wake wanaumizwa sana na kasi ya JPM ya kusimamia rasilimali na mapato ya taifa. Wengi walitegemea hali endelevu ya kutafuna mali za wananchi bila...
  2. P

    Rais Magufuli amemteua Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU

    Mbona ametuliwa 23-10-2015 na "Magufuli" wakati hata uchaguzi ulikua bado (25-10-2015)?
  3. P

    Enzi Zile: "Rais aunda tume na kuipa miaka 4 kuchunguza kupotea makontena 349"

    January Makamba yupo sahihi aliposema JPM ameifufua CCM. Ilikuwa imekufa. Ingekuwa utawala tofauti , kila kitu kingeundiwa tume, baada ya wabunge wa vyama fulani kupiga kelele na kushinikiza serikali kuchukua hatua ! JPM kaza buti, wanafiki wengi watakusifia ndani ya chama , lakini ki ukweli...
  4. P

    Mkurugenzi Mkuu wa Bandari asimamishwa kazi!

    Waziri wa Uchukuzi Tanzania Dk. Harisson Mwakyembe amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA Ephrahim Mgawe pamoja na wasaidizi wake wawili. SOURCE: East Africa TV Kwa Maelezo zaidi:-
  5. P

    Uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali 2010

    Rais Jakaya Kiwete amemteua rasmi jaji frederick mwita werema kuwa mwanasheria mkuu wa serikali muda mfupi baada ya kuapishwa kwake leo katika uwanja wa uhuru jijini dar.Jaji werema anapata nafasi hiyo kwa mara nyingine kuendelea na wadhifa huo ambao alikuwa nao hapo awali. KUNA MTU ANAJUA CV...
  6. P

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    mambo ya kusema tusubiri (2015) hatutaki, hata Yesu alisema atarudi..lakini mpaka leo bila bila... tudai haki yetu mapema ..sasa hivi....hata kama Dr(Phd) alipata 40% tunazitaka hizo hizo...msiongeze wala kupunguza...na hiyo ndio haki!
  7. P

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Amiri Jeshi Mkuu Dr (Phd) toa tamko lako na sisi askari wako tutatekeleza!
  8. P

    Elections 2010 Government of the people, by the people, for the people

    endelea kupitia hizi thread ukielimisha watu...kuna watu wanahitaji msaada sana sana!
  9. P

    Elections 2010 Government of the people, by the people, for the people

    usalama ni raia, kama NEC na CCM ! kwanini washugulike na wizi wa Kura? wanaogopa nini upinzani? au hawajiamini na uwezo wao wakufanya kazi? wana uhakika nani atakalia kiti cha CCM baada ya Kikwete ... miaka 10-20 inayokuja? inawezekana Makamba akagombania uraisi.....Kwa nini washifanye kazi...
  10. P

    Elections 2010 Government of the people, by the people, for the people

    NEC itabidi wakumbuke kwamba "government of the people, by the people, for the people, shall not perish from the earth." Nguvu ya UMMA ni shuguli nyengine kabisa.....hakuna mtu anayeombea Tanzania mabaya, lakini kumbukeni bila haki hakuna amani, hata China kusipo na democrasia, angalau sheria...
  11. P

    Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

    kuna huyo msela hapo chini katikati ana kitambaa cheupe kichwani na shati jekundu...jamaa katokea tena upande wa kulia kabisa wa picha
  12. P

    Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

    Yani siamni campaign za Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania lie kutana na Obama na Bush amejishusha kufikia hadi kuchakachua picha !
  13. P

    Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

    haahha...hapo mimi simo!
  14. P

    Elections 2010 Lipumba live on ITV

    Lipumba mhuni kweli..anaua JK kichini chini..anasema CUF hawaendeshi campaign ki BMW (baba, mama na watoto)
  15. P

    Elections 2010 CCM "wamechakachua" picha

    watu wa kwenye hiyo picha wamerudiwa/wameongezwa kwenye sehemu tofauti za picha...wengine kama walivyo...na wengine ni hao hao lakini picha tofauti (zilizochukuliwa kwa muda tofauti)...... mnaweza kunirekebisha!
  16. P

    BBC has done it: Can elections help Tanzania tackle corruption

    hii ndio athari ya kuzuoea kutawaliwa hata na wenzetu , imefikia mpaka mtu atoke nje iliatuokoe...tupigeni kura jamani!
  17. P

    BBC has done it: Can elections help Tanzania tackle corruption

    hii safi sana, hata huko nje naona wameamua kumlipua Mkuu wa kaya! mwisho wake ndio umefika!
Back
Top Bottom