Search results

  1. justus ndyanabo

    Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    Mwendawazimu!!!! Angeline Mabula alikuja kanisani na wafuasi wake kutoa shukrani wamevaa nguo za CCM katika Kanisa Katoliki la Kirumba baada ya kuteuliwa kuwa waziri kamili. Hapo hakuna shida.
  2. justus ndyanabo

    Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

    Jana Makamu wa Rais Mh. Mpango alikuwa Kanisa Katoliki la Bukoba Cathedral hakuna tabu sio mwanasiasa?
  3. justus ndyanabo

    Mungu alimtumia Hayati Magufuli kulivusha taifa la Tanzania

    Nilishakuambia kwenye post zako kuwa wewe ulikuwa unaunga mkono ukabila wa Mwendazake! Lakini Mungu akaliokoa Taifa na janga hilo
  4. justus ndyanabo

    Mungu alimtumia Hayati Magufuli kulivusha taifa la Tanzania

    Pascal alipata pigo la ukabila na MWENDAZAKE
  5. justus ndyanabo

    Nguvu inayotumika kupambana na CHADEMA inaongeza chuki kwa wananchi na kuiimarisha CHADEMA

    Yaani wewe ni takataka kabisa. Majimbo yanaliyo chini ya CCM ndiyo yanaongoza kwa umasikini. Nashangaa eti walichaguliwa na nani au Mwendazake alivyoiba uchaguzi hukujua. Kuna viti maalumu wako mtaani eti walichaguliwa. Nani? Akili ya mazombi tupu.
  6. justus ndyanabo

    Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Mtu alikuwa hajui Lugha na maradhi ya moyo hawezi kusafiri safari ndefu. Hasa kiingreza
  7. justus ndyanabo

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Duh hii hatari kumbe imekuwa kweli? Serikali ijiangalie Mara mbili mbili,intelligence ya Chadema kiboko.......
  8. justus ndyanabo

    Rais Magufuli: Maaskofu wahimize ujenzi wa viwanda vya dawa badala ya kuhubiri mambo yasiyo na tija kwa Tanzania

    Kumbe China na Marekani maasikofu ndio waliomba viwanda vikashuka toka mbinguni.......ahaaaaaa nimemuelewa Jiwe kweli kweli
  9. justus ndyanabo

    Kitila Mkumbo awachana kina Maria Sarungi wanaodai demokrasia huku wakiblock watu

    Kwa hiyo akina Lema ndo waielekeze serikali jinsi ya kulinda raia wake? Kibiti wanakufa mwandishi aliyeandika habari za kibiti yuko wapi simmempoteza? Coco beach unaona ni ufahari hata serikali yako haijui ifanye nn lkn inajua kinachoendelea,hata diamond aliimbia ccm sana kamuulize kwa...
  10. justus ndyanabo

    Kitila Mkumbo awachana kina Maria Sarungi wanaodai demokrasia huku wakiblock watu

    Naona upofu huu wa missiem unazidi sijui sababu ya elimu bure,amechana nani hapo,Sarungi au Mkuu wa malaika? Elewa sisiem
  11. justus ndyanabo

    Baraza la kwanza la UVCCM kukaa kuanzia Jumamosi, Dodoma

    Ahaaaaaa ccm bado ipo au lilibaki jeshi la polisi ndo ccm
  12. justus ndyanabo

    Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Kwani wapi Qur'an inasema mwisilamu afae kanzu?
  13. justus ndyanabo

    Je, huyu kwenye picha ndio Yesu Kristo?

    Kweli usiposhangaa ya Musa utashangaa ya Firauni,ww mtume wako hakujua kusoma hata kuandika sasa mfuasi wake ujue? Maajabu hasa,ulikimbia misalaba ambayo ni ukombozi ukaingia kwenye mizigo ya shetani Majini!!!! Ahaaaaaa pole sana......
Back
Top Bottom