Search results

  1. Z

    Why Mlimani Tv, not ITV, TBC?

    EE Bwana Muhogomchungu wee.... hata mimi nimeshangaa nimetuma maoni yangu kuhusu mada ya huyo jamaa alielezea suala la OIC na Mahakama ya kadhi inajaribu kujibu hoja tu na ufafanuzi pale mwanzo ilichapishwa na nikaisoma lakini punde tu iomeondolewa sijui ni kwa makosa au makusudi nahisi harufu...
  2. Z

    Muungano kambi ya upinzani mashakani

    Bwana Yeshuahamelech.nadhani umenifahamu sana tu .hapa hakuna blackmail wala judgement tupite kwenye point tu.Hapa chadema inakiuka misingi na dhana nzima ya upinzani bungeni na wanajenga utamaduni mpya mbaya na wao itakuwa ndio waanzilishi sioni faida na bora wakaacha misimamo hio ya...
  3. Z

    Kuahidiwa Mahakama ya Kadhi, kujiunga na OIC kumeleta mshikamano na serikali?

    "Endeleeni kufanya utani na amani ya nchi tu iko siku wote tutawajibika" wale wanaodharau maneno ya masheikh wasigubikwe na udini na kuwasukuma kutoa lugha chafu na dharau mazali tu alietoa mawazo ni sheikh .(Qinin $wostgoods- samahani lkn) hicho wanacholalamikia masheikh kingetazamwa kwa jicho...
  4. Z

    Muungano kambi ya upinzani mashakani

    inashangaza kidogo. inaonekana wachangiaji karibu wote ni Chadema oriented hawataki kabisa kujikita katika hoja za msingi. kumbukeni ni hao hao chadema walikuwa ndani ya kambi ya upinzani iliyoongozwa na CUF mmesahau nafasi ya dr slaa kwenye kambi? leo hii. kuna nini hapa ? hoja ya kuwa cuf iko...
Back
Top Bottom