Search results

  1. Jijune mfwene

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Hapo hata kwa njia gani muache aishi ajuavyo tena utafanya awachukie wanawake mpaka kifo kuna cku atakubaliana na hali
  2. Jijune mfwene

    Huko tuendako akina dada kumpata mwanaume hata wa kumsalimia tu itakuwa ni shida

    Kumbe mwamba katengeneza pisi kali wakina dada wa mchongo aaa aa hapa kwaherini
  3. Jijune mfwene

    Walikubaliana kuaona wakiwa hawana watoto kumbe mwanaume alikuwa na mtoto bila kujua, ndoa ikavunjika!

    Cna maisha ila napambana xo kesi afe beki au goalkeeper mwanangu hata akiwa chini ya maji nitashuka kumfuata
  4. Jijune mfwene

    Nataka nitoke na wewe leo

    Maisha c hayo yenyewe yanajileta
  5. Jijune mfwene

    Nataka nitoke na wewe leo

    Condom za nini kula vitu unataka kuishi maisha marefu we kobe
  6. Jijune mfwene

    Posho tu bilion 47 nani atakuwa mzalendo wa kulipa kodi?

    Hahahaha weekend umeifanya kuwa poa xana njoo upate kinywaji ila kodi hapana
  7. Jijune mfwene

    Posho tu bilion 47 nani atakuwa mzalendo wa kulipa kodi?

    Ndo nyinyi mnaopanga posho 47 b shukuruni jiwe alikata moto
  8. Jijune mfwene

    Posho tu bilion 47 nani atakuwa mzalendo wa kulipa kodi?

    Mbele kwa mbele kama wimbo ule Tutajua cha kufanya huko huko mbele
  9. Jijune mfwene

    Posho tu bilion 47 nani atakuwa mzalendo wa kulipa kodi?

    Wakwepe wahindi posho mgawane nyinyi basi ni zamu yetu tunasepa na vyetu lipeni nanyinyi muone
  10. Jijune mfwene

    Posho tu bilion 47 nani atakuwa mzalendo wa kulipa kodi?

    Toka zamani wanalipa acha tuishie hapa
  11. Jijune mfwene

    Akikuuliza kwanini akuoe wewe utajibuje?

    Nitajibu huoni hili kalio kama ft 60 iv ko ucpende wakafaidi wengine
  12. Jijune mfwene

    Vijana wenzangu, tusije kupima DNA tafadhali

    Wasi wasi ukianza pima uwe huru bwana
  13. Jijune mfwene

    Vijana wenzangu, tusije kupima DNA tafadhali

    Sema vichwa vya panzi haviwezi kubeba kikapu ndo tatizo
  14. Jijune mfwene

    Vijana wenzangu, tusije kupima DNA tafadhali

    Kwani kupima ni tangazo si unaweza enda na sample ukipima majibu unakuwa nayo kama wako au si wako utajua cha kufanya
  15. Jijune mfwene

    Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Kama watumishi wa mungu aliozungumza nao katika ndoto walifeli ndo tukawe wewe na mimi tunaozungumza na mungu kupitia mchungaji mackenzie hapa hakuna kupona tusonge mbele labda tutakutana na upepo wa kisulisuli
  16. Jijune mfwene

    "Mabro" mnalia lia sana mnatufundisha nini?

    Huyu dogo vp mabro hawalii ila myoyo ndo inalia hahahaha wewe unadhani wanalia Ila wewe hapo ndo unalia
Back
Top Bottom