Search results

  1. B

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Acha uwongo. Kinyume chake ndo sahihi.
  2. B

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Kulikuwa cha maandalizi ya msimu ujao.
  3. B

    Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Kwanza tafuta mfadhili mwingine. Au utaifadhili ww?
  4. B

    CCM yaiweka mfukoni CHADEMA

    Umemjibu vyema kabisa jinga hili.
  5. B

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Mechi kama hizi za kimataifa na timu kubwa kubwa pamoja na matokeo ya angalau kutofungwa ndiyo huwafanya Simba kudunduliza mapoint over the years na kuifanya club kuwa Bora Barani Africa na kuwapiku Uto. Huwa inashangaza kuwaona Uto kuweweseka, si mjitahidi na nyie? Jitihada hizi huja kwa jasho...
  6. B

    FT: Geita Gold FC 0 - 3 Yanga SC | NBC League | CCM Kirumba Mwanza | Oktoba 7, 2023

    Wanachojua wana-Uto ni kuvamua tu threads za Mnyama anapocheza na kuikosoa wakijifanya ni mashabiki wa Mnyama. Tumesha wang'amua kitambo sana. Hovyo!!!
  7. B

    FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    Na ikae hivi kwa muda, Nye nye Nye zilikuwa zinatuziba masikio kwa kweli, au nasema uongo ndugu zangu?
  8. B

    FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

    Watu wa uto kwa kuvamua tuthread za Mnyama hawajambo. Mtu unawexa dhani Hawa wote waokosoa Simba ni mashabiki wa Mnyama kumbe wengi wao ni wa utopolo tu.
  9. B

    FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

    Lakini ikimalizika hivi Mnyama anashinda AGG 5-3 kutokana na faida ya magoli ya ugenini.
  10. B

    FT: CAFCL: Simba SC 1-1 Power Dynamos | Simba yafuzu Hatua ya Makundi

    Magoli ya ugeni yahesabiwa 2 Kila goli hivyo ikimalzika hivi itakuwa ni 5-3.
  11. B

    Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

    Kwanza nawauliza Maccm: Kuna kipengele cha Sheria ya vyama vya siasa au Sheria ya uchaguzi inayowalazimisha wapinzani mikutanoni au sehemu nyingine kuzungumzia sera zao tu na si kukosoa mapungufu ya serikali?
  12. B

    Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Kwani machawa wanachakusema hapo?
  13. B

    FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

    Wanachangamshaje? Unadhani ni kama wa nyie utopolo mnavyojazana kwenye thread ya Simba inapocheza na kazi yenu ni kuitoa makosa kibao huku mkijifanya ni mashabiki wa Simba. Tumesha wajueni.
Back
Top Bottom