Search results

  1. D

    Serikali yapiga marufuku shule binafsi kufanya mitihani ya kuchuja wanafunzi

    very nice argument yani vitu vyote wanavyo kanusha ndo hufanywa na serikali. sasa sijaona kipya zaid ya kulea ujinga na uzembe kwa wanafunzi...mwenyewe nimesoma shule za mchujo na ninaeperience ya kutosha kuhusu faida ya mchujo sanjari na kukuza ufaulu na juhudi kwa mwanafunz katka kusoma...
  2. D

    Nina Mashaka sana kuwa kupotea kwa Ben Saanane ndiyo operesheni UKUTA

    Unajua msinifanye niamini kuwa serikali pamoja na jeshi lake kubwa lenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao imeshindwa kujua Ben alipo...that's very fearful and terifying. kama kweli imeshindwa kupitia mafunzo yalokubuhu ya kiinterijensia kujua nani anahusika! then we are not safe...
  3. D

    Serikali ya Tanzania yakopa tsh billion 360

    kumbe bora hata tungelipa bombadia kwa awamu...kujinasibu kuwa tumelipa keshi siyo mkopo alizani ni sifa? mmh inabidi afundishwe japo elementary economics akawa na uelewa wa mambo ya uchumi unavyo work....duh 360b si thamani ya zile ndege zote mbili kweli. nachoka miye
  4. D

    Yaliyojiri Kutoka Ikulu: Mahojiano ya Rais John Magufuli na Wahariri wa Vyombo vya Habari

    Habari wana jamii forum! Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu hasa baada ya jana kujua kwamba tuna wahariri wa habari wa aina gani. sipendi nijikite huko na kuzisemea taaluma za watu la hasha! napenda kusemea kile nilicho jaribu kukisoma toka kwa mh. JPM kwa ocasion ya jana katika...
  5. D

    Mambo kumi usiyoyajua kuhusu marehemu Aboud Jumbe

    mkuu hapo kuna ukwel wowote kuhusu umri...maana mleta mada anasema jumbe kafa akiwa na umri wa miaka 80 na wewe unasema alizaliwa mwaka1920 ikiwa na maana angekuwa na miaka takribani 96 sasa sijui inaukweli kias gani hapo
  6. D

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella azomewa mbele ya Rais Magufuli

    Duh mama mdogo umechapia yaani mleta mada huenda kakosea ila wewe ndo umekosa kabisa...tani nne ni sawa na kilo milion nne kweli? tani nne = kilo elfu nne tu. so mleta mada katuacha hoi hae
  7. D

    Jaji Salome Kaganda: Siitambui barua iliyotumwa kwa Mbowe, Lissu wakitakiwa kujieleza mbele ya tume

    Hivi kwa nn nchi yangu inkuwa ya vituko kuliko ile ya kusadikika? yani kikiisha hiki kinakuja kile lengo ni nn? au ndo propaganda zenyewe? agh! maajabu sana... sasa hiyo barua aliandika nani mzimu au?
  8. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    asante kwa ushauri mkuu
  9. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    ha ha ha ha nimekuelewa sana mkuu.
  10. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    mkuu umeongea kwa uchungu sana..natumaini mheshimiwa anapitapita humu ...ajaribu kuwa na moyo wa huruma kama kashindwa ya Lugumi basi ajaribu ya watumishi japo kurejesha imani kwa wafanyakazi
  11. D

    John Heche afanya mkutano mkubwa jimboni Tarime Mjini maandalizi operesheni UKUTA

    Lo! ndo mana tulisema siasa mpaka 2020...sasa hii si kama general election campaign kabisa hii.
  12. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    kwa bahati mbaya kusoma namba hakujabagua aliyechagua na asiye chagua ndo ubaya wenyewe.ila ndo naanza kuamini kwa nn kipindi cha campaign watu tunakuwa wakali kwa wanaoshabikia ujinga
  13. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    dah nimecheka sana mkuu
  14. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    Nilikuwa navumilia kwa kujipa imani huenda nilimwelewa vibaya mheshimiwa..kwa ushauri huo inabidi tu kuanza ujasiriamali maana duh..ushu ni kwamba huo ujasiriamali unaweza usilipe coz hela hakuna mtaani.
  15. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    mkuu wamefungwa mdomo sidhani kama wapo active...mbona wangejibu!
  16. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    kwa tafsiri hiyo ni kwamba kishsahau wanaotaabika? yaani inatisha sana
  17. D

    Nini lengo la mheshimiwa Rais kwa watumishi wa Umma?

    Habari wana Jf: Hivi ile kauli ya Rais ya kusema ajira mpaka uhakiki wa watumishi uishe alimaanisha pia kwa salary increment kwa watumishi? maana tunaweza kuwa na hope ya kusubiri kumbe ndo imepita hiyo. naomba mwenye uelewa kwa hili naomba ufafanuzi ili nami niwe na uelewa mmoja. maana...
  18. D

    Nane nane yafana sana

    mbona habari yako iko kama kishabiki vile?
  19. D

    Mh. Mwigulu Nchemba na Uvaaji Wake

    ninachoshukuru mitusi kaacha kutukana labda kwa kuwa kapewa kitengo ndo maana
Back
Top Bottom