Search results

  1. M

    Vituo vya habari vyapigwa rungu na TCRA kwa kurusha maudhui katika muda ambao watoto hawapaswi kuangalia ama kusikiliza

    Mbona hotuba Q Mbona hotuba za JPM zina mambo mengi yasio faa kusemwa hadharani
  2. M

    Itapendeza Christian Amanpour akifanya mahojiano na Rais Magufuli

    Amuhoji kwa lugha gani? Uliona maswali aliyotupiwa Uganda ? Museveni ndio aliokoa jahazi
  3. M

    Inasemekana Rais John Pombe Magufuli mapema leo ameongea kwa njia ya simu na mwenzake wa Afrika Kusini Ndugu Ramaphosa.

    Atajibiwa kama ilivyokuwa na waziri mkuu Wa Canada, mahakama itatenda haki, kwanza huyo raising mwenyewe ana mashtaka yanamkabili, akiingilia hili hataachwa ,
  4. M

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Niko tayari.kuchangia kwa uwezi wangu
  5. M

    Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    Kajiunga 31July 2019
  6. M

    Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    We ni muathirika na ni askari, pambana na hali yako, sisi RAIA tunateswa askari Wa usalama barabarani hats kwa makosa yanayostahili onto tu ETI usitufundishe kazi, yaani taa ya brake imeungua nikiwa naendesha unaniandikia fine 30,000??? Tunakosaga watetezi na we pambana na hali yako
  7. M

    TRA yakusanya tr.15.9 July -Juni 2029

    2029 tumefika?
  8. M

    Kwanini Taifa stars kufungwa na Kenya baadhi ya watanzania wameshangilia kuliko tulipofungwa na Senegal?

    Msuva alisema wanamuwakilisha Magu na Serikali sio Nchi sasa si tufanyeje?
  9. M

    Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Inawezekana umejibu bila kusoma, huna kichwa
  10. M

    Mbinu mbadala ya Vifungashio ukienda kununua Mchele

    Akijikwaa atafurahi
  11. M

    Tamko la vyama vya siasa dhidi ya Serikali ni batili

    Tunakushukuru wakili, mambo yote ambayo ni kinyume na katiba yanayofanywa na jpm.umewahi yatolea andiko kama hili?
  12. M

    Ikulu Dar: Rais Magufuli akutana na kuzungumza na Askofu Josephat Gwajima

    Yaani kukutana na Gwajima kwake ni muhimu kuliko viingozi Wa vyama vya upinzani!!! Akili ndogo sana
  13. M

    Sababu 3 Kwanini Magufuli Anatumia Kiswahili kwa Wageni na Ngambo... na maana yake kwetu...

    Andiko lako ni refu mno kwa mTz kama Mimi, mi nimeenda moja kwa moja kuchagua hill la katikati, Asante sana.
  14. M

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kaficha simu mbali!!!
  15. M

    IMF na World Bank tambueni hii nchi ni huru

    Lakini naskia kujiunga nao sio lazima, kwa hiyo ukijiunga kwa hiari yako ujue vigezo na masharti kuzingatiwa
  16. M

    Alama ya vidole kuingilia uhuru wa kujieleza

    Kwani ulikua na haraka gani, so ungesubiri update muda uandike kitu kamili, upuuzi huu
Back
Top Bottom