GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Osmund
Middle Name:
Joseph
Last Name:
Mbilinyi
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Mbeya Mjini
Political Party:
CHADEMA
Office Location:
Box 815, Mbeya
Office Phone:
+255 716 627344
Ext.:
Office Fax...
Hapo kwenye rangi. Ndio mafundisho mnayopewa huko Kanisani kwenu na sunday school ambayo yanawafanya mnaishi kwa wasiwasi. Na ndio yaliyopelekea yule mtoto akanajisi kitabu cha watu kwa chuki mliyonayo ambayo ikasababisha hasara kubwa kwa makanisa yenu.
Wakati dunia ya sasa imejikita kwenye ujasiriamali naona waziri anakazania ajira. Ndio maana kuna kundi kubwa la vijana wako mtaani hawana ajira kumbe si kosa lao. Tatizo ni mfumo mbovu wa elimu unaowaandaa vijana kuja kuajiriwa!
Haya yote yamesababishwa na Julius Kambarage Nyerere kuwanyima elimu waislamu baada ya uhuru.
Pia ni matokeo ya baraza la mitihani (NECTA) kuwahujumu waislamu.
Kweli nyani haoni kundule!
Hivi udini unaofanywa NECTA huuoni
Udini unaofanywa PPF huuoni au kwa vile PPF MD ni mkristo.
Udini wa PSPF huuoni au kwa vile PSPF MD ni mkristo.
Udini wa TRA hujaona au kwa vile CG Mkisto.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.