Search results

  1. Kambonna

    Fahamu tabia za Wanawake wanaopenda zaidi pesa

    Mkuu huoni hapa utakuwa umejiongezea adhabu?pesa utoe ya kutosha then ujipe mazoezi mengine magumu ya kimwili na kunyonya kama ndama.Huwezi pambana hapo ulipotokea mkuu utamuacha mzimaaa wa afya alafu wewe unaenda kunywa panadol za maumivu.Ukitoa mpunga mkubwa unatakiwa kula kwa starehe mkuu sio...
  2. Kambonna

    NAJUTA: Ningejua nisingesoma huu uzi wa mwathirika, nimechanganyikiwa, tunauana humu ndani

    I like this comment mkuu kunywa soda baridiii kwa mangi nipo njiani nakuja kulipa
  3. Kambonna

    Wanawake sio watu wazuri

    Duuh mkuu umeua aisee mbwa tena
  4. Kambonna

    Le Mutuz amuopoa Zari?

    Aisee mkuu ndiloswali lililokuwa kichwani mwangu huyu jamaa ana familia kweli kwa ujinga ujinga anofanya in relation na umri wake mbona huu ni mzigo hata kwa mke
  5. Kambonna

    Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

    Kwa mwanaume mkuu aisee ngumu uanaume ni zaidi ya kufanya mapenzi ndio maana akaitwa kichwa cha familia
  6. Kambonna

    Wanawake acheni hii tabia

    Mkuu msaidie ushauri mwenzako ndo kaisha choka na tabia ya mchepuko wake
  7. Kambonna

    Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

    Umetoka kapa tena jamani rudia huo uzi mkuu
  8. Kambonna

    Wanawake wengine bwana eti "I need a space " hivi kuna haja ya kuendelea kumsubiri mtu kama huyo?

    Exactly nikumwacha aende tu haina haja ya kusumbuana ni utoto kabisa
  9. Kambonna

    Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

    Aisee nimeona bwana mtoa mada mbunifu sana ila sioni shida kutoa namba kama mtu anajiamini
  10. Kambonna

    Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu

    Nashangaa sijaiona hata mimi
  11. Kambonna

    Jana kwa mara ya kwanza nimempiga makofi mke wangu ila roho inaniuma

    Ivi kama umetumia mbinu zoote na bado ukaona umefeli haachi hizo dharau si umuache kuliko kubadisha nyumba kuwa uwanja wa mapigano maisha yenyewe yanatupelekesha yanini kuishi na mtu anayekudharau na hataki kubadilika.Kumbuka ipo siku utampiga na kujikuta unaua bila kukusudia hasara ya nani
  12. Kambonna

    Zifahamu nyakati 5 kuu ambazo wanaume huchepuka kwa wingi

    Sure hii ni tabia kama tabia nyingine tu
  13. Kambonna

    Zifahamu nyakati 5 kuu ambazo wanaume huchepuka kwa wingi

    Naunga hoja mkono hili swala ni tabia ya mtu plus tretment ya mke maana kuna wengine akisha olewa ndio anabweteka na kusahau wajibu wake kwa mumewe.Kununa ovyo ovyo,gubu wakati wote na maranyingine hata tendo la ndoa linafanywa kwa masharti na bila furaha
  14. Kambonna

    Kumsamehe aliye kusaliti

    Angalia sana isije ikakusababishia Magonjwa ya moyo sio hilo tu hata magonjwa ya zinaa na mengineyo kama anafanya kuwa ni sehemu ya tabia na hulka yake hakufai hata kidogo hilo ni tatizo kubwa sana.Unapomsaliti mapenzi lets say mume au mke akashuhudia na akasamehe nadhani huwa ni muda mzuri wa...
  15. Kambonna

    Kumsamehe aliye kusaliti

    Sasa mkuu kadi za benki za kwake ulizonazo na umiliki wa mapato yake ndio sababu inayokusumbua na kushindwa kutoa maamuzi au ni moyo wako na nafsi kutokana na kosa alilolitenda.Inaonekana upo interested na material things kuliko mapenzi na amani ndani ya ndoa yako. Inawezekana hii ikawa ni...
  16. Kambonna

    Wadada mnaomba hela kiasi kwamba hadi tunachanganyikiwa

    Hahaha toa hela mapenzi pesa siku hizi kama huna fanya mambo menngine
  17. Kambonna

    Wanawake kwa wanaume

    We dada wewe huwa nacheka nakufurahishwa na respond zako kwenye nyuzi.
  18. Kambonna

    Kuna watu tuliumbwa kupishana na gari la mapenzi

    Nimeishia kucheka tu watu mna maono ya mbali
Back
Top Bottom