Search results

  1. mchillo

    Airtel na Huduma zao Mbovu

    Mimi ni mteja wa Kampuni hiyo ya simu toka iingie nchini kama Celtel, Zain na sasa Airtel lakini hakuna wakati niliokwazwa nao kama safari hii wanapojiita Airtel. Nilianza kukwazwa na tangazo lao lililonihamasisha "kujirusha" kwa Tsh. 250/= ili nipate muda wa hewani wa Dk 15 au Tsh. 500/= kwa...
  2. mchillo

    Elections 2010 NEC na Uswahiliswahili wake

    Jana Taifa letu lilipitia hatua muhimu kabisa ambapo wananchi walifanya maamuzi ya kuchagua viongozi wao. Kuna mambo kadhaa yaliyonikera na yote yanatokana na utendaji mbovu wa Tume ya uchaguzi ambayo licha ya kusheheni watu kibao wanafanya mambo yao ki uswahiliswahili. Hebu fikiria, tume...
Back
Top Bottom