Search results

  1. prospilla

    Ikitokea mwenzawako ametangulia (hatuombei) utaoa/kuolewa tena?

    Daah mwezi mmoja tu nioe tena kweli?
  2. prospilla

    Ikitokea mwenzawako ametangulia (hatuombei) utaoa/kuolewa tena?

    Tarehe kama ya leo mwezi uliopita nimempoteza mke wangu, ni mwezi mmoja sasa umetimia Nina miaka 30 tu kwa sasa, Sijui nijibu vipi hili swali aisee
  3. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Hakika, ni suala la muda tu hata mimi nitaliliwa kama nilivyomlilia mke wangu
  4. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Amekwisha fariki mkuu, tulimpumzisha tarehe 27 jan
  5. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Tulikua tunaenda japo si kwa usahihi sana mkuu
  6. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Duuh pole sana, na wewe saratani imepita na nduguyo? Daah hii saratan hii inakua tishio sana sasa
  7. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Aisee amefariki ijumaa tumezika jumamosi Alinambia kwamba akitoka pale itabidi tuwe siriazi zaidi kwenda kanisani Pia wakati ana aga dunia aliwaambia hilo kina mama kuwa waniambie hilo la kanisani.
  8. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    ahsanteni nyote kwa ushauri, faraja na pole MKE WANGU AMEFARIKI KWA MATESO SANA, TUMEHANGAIKA NA TUMEPAMBANIA SANA UHAI WAKE. ukisikia nduguyo ana saratani, kuwa tayari kwa yote.
  9. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Mkuu mbona sijaona namba? Ahsante sana lakini
  10. prospilla

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    HAIJAWA BAHATI KWANGU, SARATANI IMESHINDA VITA YA KUPIGANIA UHAI NA MKE WANGU
  11. prospilla

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    HATIMAYE AMEAGA DUNIA BAADA YA MAPAMBANO YA MUDA MREFU NA SARATANI YA MATITI ILIYOSHAMBULIA MAPAFU YAKE. ALIYETOA NDIYE AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Back
Top Bottom