SI mnakumbuka hata kwenye uzinduzi WA chama mtoto WA kwame krumah na mabarozi WA nchi za ulaya na Prof lipumba walikuwepo kama tulivokuwa tumetangaziwa! Chezea zito wewe
Fedha yote inayotakiwa kulipwa kwa wabunge kama posho za vikao vya bunge ilishatengwa tayari wenyewe kazi Yao Ni kusaini Tu...na huwa wanasaiana na Kila mtu anaingiziwa chake mwisho WA siku...hata ikitokea bungeni amebaki spika pekeake hakuna hata senti tano itakayorudi hazina...
Kwa majimbo kama segerea, ukonga, kigamboni, Serengeti, morogoro mjini na kilosa chadema ina nguvu Sana ukilinganisha na vyama vingine ndani ya ukawa...mi naona Ni bora hayo majimbo vyama vingine vikakubari kugawana hayo mengine yaliyobaki..
Kama ishu ingekuwa Ni degree au u profesa basi tz tungekuwa matajiri..maendeleo ya nchi hayahitaji kiongozi mwenye elimu kubwa bali kiongozi mwenye maono ambaye atatumia wataalamu wanaomzunguka kuweza kufikia malengo na maono yake...hapo ndo mbowe anapowashinda wengine..adolf Hitler hakumaliza...
We mtu gani hata bungeni hachangii chochote...ina maana hayaoni matatizo ya watz na Hana njia mbadala ya kuyatatua? Bora alivokuwa waziri tungemtetea kuwa anaogopa kuikosoa serilali yake, lakini tangu 2008 Ni mbuge hadi Leo na hajawahi kukosoa chochote wala kukemea ufisadi na rushwa ina maana ye...
Naona watu wanashadadia Tu kumshabikia lowasa, akiwa rais tutajuta nchi hii..tutaona heri hata ya kikwete..lowasa hafai kabixaa kuwa rais kuanzia ye mwenyewe hadi team inayo mback up Ni hatari tupu.
Ufike mda watz tujadili mambo ya msingi na kwa hoja na sio kutukana Tu, kazi ya mbunge Ni kuisimamia kuishauri na kuiwajibisha serikali. Na kwa hapo John mnyika kajitahidi Sana ukilinganisha na wabunge wengine.
Huyo mleta mada sijui Ana uwezo gani WA kufikiri, kwani hiyo migogoro wanayorusha itv Ni ya kutunga? Mbona mgogoro WA kiteto hata tbc walirusha na serikali ilichukua hatua kwenye kuutatua..ni vizuri kutumia akili na sio kutumia hisia na mihemuko
Mbona chama chetu kimefanya mambo mengi makubwa tangu tupate uhuru inakuaje wewe kuhusu maji ubungo wakati serikali ha ccm imefanya kazi ya kusambaza maji nchi nzima au ubungo sio sehemu ya Tanzania...
Kumbuka hyo tayari Ni pesa iliyotengwa kwaajili ya posho kwahyo haya cdm wasipochukua haitasaidia kitu..jiulize ile hela ambayo ilitakiwa walipwe ukawa kwenye bmk ilienda wapi?..cha msingi hapa ni wananchi kuamka na kupinga huo wizi na sio kusubiria cdm ndo waongee pekeao.
Ni kawaida kupoteza ILA tatizo haiwezi kutokana na hivyo vigezo ulivyoweka..sio watanzania wote wadini kama wewe, kwani kikwete alivoshinda kwa 80% mwaka 2005 ndo inamaanisha kuwa waislamu nchini wapo 80% ya watanzania wote?
Kuanza kuingiza propaganda za kidini kwenye siasa Ni kuishiwa hoja..dadangu ff usipende Sana kushadadia udini sio vizurii, jenga hoja zako kwa ustaha tutakuheshimu.
Wenzetu waingereza wanafanya mambo Yao kwa ufanisi mkubwa na Kila kitu kiko wazi kwa 100% hata waziri mkuu David Cameroon amekiri chama chake kupata wakati mgumu kutokana na kutokuwa na uhakika WA kushinda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.