Search results

  1. J

    Mabere Marando awania Uspika kupitia CHADEMA

    Ni dhahiri Itakuwa busara zaidi upinzani ukawa kundi moja katika kupendekeza jina moja kwa nafasi ya Spika hata kama Chadema inaweza kusimamisha peke yake. Hii itakuwa hatua muhimu ya kuanza kuandaa ushirikiano/umoja wa dhati wa upinzani katika uchaguzi wa 2015. Ni dhahiri CCM watajaribu kila...
  2. J

    Nchi za magharibi zimefurahi Dr Slaa kushindwa

    Nakubaliana nawe. Hivi mligundua kuwa nembo ya Chadema kwenye fomu ya kupiga kura ilikuwa imefubaa na kwa nini iwe hivyo?
  3. J

    Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

    Kwa utamaduni na mtindo wa CCM Chenge ataweza kupenyezwa kuwa Spika, kama walivyopenyezwa wabunge kadhaa bila ridhaa ya wananchi. Kwa mwendo uliopo na bado uchache wa wabunge pinzani, hatutaweza kuzuia hilo. Itakuwa na maana mafisadi wana mtu wao wenyewe atayezima mijadala inayotishia maslahi...
  4. J

    Elections 2010 NEC toeni maelezo ni kivipi matokeo ya Geita na Nyang'hwale yanafanana!

    Utaratibu ni kupokea matokeo kwa simu ama kwa fomu maalumu? Iweje Tume ikubali marekebisho kwa kutumiwa kwa simu? Ina maana nao wanaweza kuchakachua wakidai wapewa marekebisho kwa njia ya simu tu?
  5. J

    Elections 2010 Thibitisha mwenyewe CCM walivyojua kuwa watachakachua kura

    Your quote leaves a very interesting piece, "we have done a lot of things for this country and for THESE people"
  6. J

    Elections 2010 Ultimate Security na Uchaguzi Mkuu

    ULTIMATE SECURITY ni kampuni ya muasia Tanil Somaiya, yule anayetajwa kwenye ufisadi wa RADA, uagizaji wa magari ya Jeshi n.k. Kampuni yake nyingine ni Shivacom. Labda amepewa tenda ya kulinda usalama wa kura zenu.
  7. J

    Elections 2010 Kawe wanataka Kuhesabu kura Upya - Live BBC

    Kumsikiliza mgombea wa urais tiketi ya CCM juzi akisifia utaratibu uliopo kuwa hauruhusu kura kuibwa, nili admire alivyoelezea kwa umahiri mkubwa utaratibu huo hata maeneo ambayo yanaweza kuwa na mwanya/changamoto!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!TAFAKARI HILO.
  8. J

    Elections 2010 CCM: Elimu bure HAIWEZEKANI!

    Kwa CCM Elimu na Matibabu bure haviwezekani kwa sababu wamefungwa kwenye hila ya kupora na hao mafisadi. Hivyo hawako tayari kutupa wananchi matunda ya rasilimali zetu, mafisadi wameikaba koo haiwezi kufurukuta, inabidi tuiokoe CCM kwa kuiondoa madarakani. Iweje fisadi agharamie uchaguzi...
  9. J

    Wanaharakati: Ziachieni simu za VodaCom!

    Thank you Waga for the analysis. I had been toying with the idea of abandonning Vodacom for sometime but really the Shamte stuff has helped me make my mind. I am certainly going to switch asap. By the way is this Shamte the same one who is a member of NEC in CCM?
  10. J

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    Hii inatisha kama Vodacom inaweza kuruhusu/kuhusishwa na kufungulia namba za watu hovyohovyo tu. Huu ndio utekelezaji wa sera ya uhuru wa habari kwa TCRA? Kama kuna chama cha siasa kinahusika, je tunaweza kukiamini?
  11. J

    Who is Benson Bana?

    Usiogope siasa bali ogopa sana uongo ama kughushi.
  12. J

    Who is Benson Bana?

    Mbona vijana wa kijiweni wanasema uchaguzi umeshafanyika ? Eti maboksi mengine mbadala yenye kura kufikia 71% yapo tayari yanasubiri kubadilishwa na ya oktoba 31. Labda ndiko redet walikotoa takwimu?
  13. J

    Who is Benson Bana?

    shishiem bana yote rafiki mimi, ve najua?
Back
Top Bottom