Search results

  1. M

    Ikulu Dar: Rais Magufuli akutana na kuzungumza na Askofu Josephat Gwajima

    Kuna bonge la Uwekezaji Askofu kafanikisha mpaka umevutia Presidential Attention safi sana Bishop
  2. M

    Lowassa aizamisha CCM Tanzania

    Lowassa chaguo letu
  3. M

    Lowassa aizamisha CCM Tanzania

    VIVA ROMA VIVA #nana nana nanana!! (Tongwe records baby!!) Verse 1 Nimeshapigwa sana mkwara na jumbe za vitisho/ Ila siamini huu msafara ni vibaraka wa Mrisho/ Si tulianza sawa vita kuitetea ikulu/ Leo umeisaliti UKAWA kwenye sherehe za uhuru/ Uhuru ukwapi mnasherekea uhuru??/ Uhuru wa...
  4. M

    Gwajima Kitanzini, Viongozi wa dini wamshukia kama mwewe

    Gazeti sio nipashe no uhuru toeni ujinga wenu hapa mkiendelea kumfuatilia atawalopua kama alivyoahidi, haha silaha yenu imewekwa wazi uchi yaani tafuteni nyingine kama mnauwezo
  5. M

    Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    mida ya saa saba najiandaa kuja hapo aisee nilimngojea kwa hamu sana
  6. M

    Lowasa chaguo la Mungu

    Gwajima naye alisema ni majira yake haya tangu mwaka jaa alipomwita kuzindua helcopter yake
  7. M

    Katika watu ambao niliamini wakiondoka CHADEMA na yenyewe itasambaratika ni Dr. Slaa

    jipange kutafuta mahali pengine pa kula matunda ccm ishaondoka opende usipende kama vipi kunywa sumu ulale tu usishuhudie mabadiliko haya.
  8. M

    Mji Wa Mpanda wazizima, Lowassa asimamisha shuguli za mji wote

    ayaaa hao wamebebwa na malori haiwezekani hata kidogo Lowassa akaendelea kupendwa hivyo jamani msidanganyike ccm ni kazi tu kwenda mbele pombeee oyeeeeeeeeeee kidumu chama cha madili ya uhakika kidumu cha mbege juuuuuuuuuuuuuu
  9. M

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    Bora Lowassa kuliko magufuli na chuo chake cha mafisado ndani ya ccm
  10. M

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha akamatwa na Polisi

    kwakweli jamani tusiwafanyie hivyo japo wanajiita waleta mabadiliko tusiwafanyie hivyo wanaweza kutukamata mahali wakatushinda kiurahisi ewe ccm calm down!
  11. M

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Mheshimiwa Leo ametembelea Mama ntilie kuangalia hali walizo nazo katika kuchunguza sababu ya mlipuko wa Magonjwa hasa kipindupindu ambacho kimetokea majuzi pia alipanda daladala mpaka gongo la mboto kuangalia jinsi abiria wanavyo kaa kwenye foleni barabarani na kero ya usafiri ambapo alielekea...
  12. M

    Dr. Magufuli (CCM) itashinda kwa zaidi ya 80%

    Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa tembo wengi kwa sasa wanazaa wakati hawana pembe ama akiwa na pembe fupi fofauti na zamani,na hii ni kutokana na stress wanazozipata kutokana na kuwindwa na kuuawa. Hii ni dhambi kwa watawala na viongozi wa vyama wanao fanya uwindaji na kuwaua hawa wanyama...
  13. M

    Dr. Magufuli (CCM) itashinda kwa zaidi ya 80%

    Hata farao alijikuta mgumu mwisho wa siku atoweka juu ya uso wa nchi.na jeshi lake Ccm jiandaeni mapemaa kuondoka madaralani
  14. M

    Nillikuwa gizani: Kumbe watuhumiwa wote wa ESCROW wameteuliwa kugombea Ubunge?

    Sio siri una gesi ya maharage ya #ukawamafukiko Mtaisoma namba
  15. M

    Nillikuwa gizani: Kumbe watuhumiwa wote wa ESCROW wameteuliwa kugombea Ubunge?

    Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa tembo wengi kwa sasa wanazaa wakati hawana pembe ama akiwa na pembe fupi fofauti na zamani,na hii ni kutokana na stress wanazozipata kutokana na kuwindwa na kuuawa. Hii ni dhambi kwa watawala na viongozi wa vyama wanao fanya uwindaji na kuwaua hawa wanyama...
  16. M

    Dr. John Pombe Magufuli anaumwa nini?

    Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa tembo wengi kwa sasa wanazaa wakati hawana pembe ama akiwa na pembe fupi fofauti na zamani,na hii ni kutokana na stress wanazozipata kutokana na kuwindwa na kuuawa. Hii ni dhambi kwa watawala na viongozi wa vyama wanao fanya uwindaji na kuwaua hawa wanyama...
  17. M

    Ccm wapoteza Jimbo la kilindi

    Cha kusikitisha na kuhuzunisha ni kuwa tembo wengi kwa sasa wanazaa wakati hawana pembe ama akiwa na pembe fupi fofauti na zamani,na hii ni kutokana na stress wanazozipata kutokana na kuwindwa na kuuawa. Hii ni dhambi kwa watawala na viongozi wa vyama wanao fanya uwindaji na kuwaua hawa wanyama...
  18. M

    CHADEMA Kigamboni yaongea na Kamanda Lucy Magereli UKAWA hatupigi mbizi

Back
Top Bottom