Search results

  1. K

    Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    ------ hawajielewi hawa wasanii
  2. K

    Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

    Upuuzi mkubwa sana na yote yanafanyika ndani ya mwamvuli unoitwa burudani, sidhani kama burudani haina haja ya kuzingatia maadili ya kitaaluma na kijamii. Kama waandaaji wa hiki kipindi wanafikiri kinapendwa sana waandae number za SMS watu wapige kura kukikubali au kukikataa watapata jibu...
  3. K

    Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao

    Kama umri ni kigezo Nassari asingepata wingi wa kura aliopata 2010 na pia kura hazipigwi na wazee peke yao bali wanajimbo wote walioandikishwa ambao ni vijana kwa asilimia kubwa sana.......1/04/2012 itadhibitisha
  4. K

    CHADEMA yamwekea Pingamizi Mohammed Raza uchaguzi Zanzibar

    ....Hakuna hati miliki ya majimbo kwa vyama vya siasa kwa hiyo kushinda CDM inawezekana popote na wakati wowote.
  5. K

    Goms yamliza Makinda

    Ni kweli atakuwa halii manake hii picha iko clear sana tungeona at least kotone ka chozi kanashuka, kanafiki sana kamama haka kanapretande tu!!! :A S 112:
Back
Top Bottom