Search results

  1. K

    Fursa ya biashara ya studio .. Mo Town

    Wadau wa kunyonga bit...salute, Ninakodisha apartment ( design for recording studio.). ipo eneo tulivu. Bei maelewano. Kwa maelezo zaidi PM
  2. K

    Bike for sale -- 2 Stroke Honda 250 (CRM)

    Heshima wanajamvi, Kwa wale wanaopenda sport Bike kwa ajili ya motocross / Enduro etc Used bike ipo ktk hali nzuri insurance na reg card vyote vipo. Bei tshs 4 M. bike ipo Moshi.
  3. K

    Mdau wa Kuwekeze ktk Kilimo na Camp site

    Salute Wakuu, 1.Shamba zaidi ya heka 70 lipo Kjro Mdau anahitajika aje awekeze katika kilimo cha mboga mboga. 2. Camp site / Recreation Park eneo lipo Moshi - Mdau anakaribishwa. Kwa maelezo zaidi PM. Napita hivi *-----
  4. K

    Nyumba Inauzwa

    Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo Magomeni Kagera -DSM ina vyumba 9,Inafaa kuwa Hosteli, Guest,Godown,Kuishi 3 Familia,Kiwanda Kidogo cha Printing,Kusaga na Kupaki Nafaka Etc. Mita 100 kutoka Morogoro Road. Bei maelewana 0715311604 na 0713236154 waweza kutuma SMS
Back
Top Bottom