Search results

  1. F

    Mke mjamzito kuwa mwenye fujo, mbabe,lugha kali tofauti na zamani

    Wakuu hio inaitwa Technical problem hvyo tuweke uzalendo mbele tumsaidie jamaa nashukurun Lakin nakaribisha maoni zaidi tumsaidie jamaa amekonda kwa stress
  2. F

    Mke mjamzito kuwa mwenye fujo, mbabe,lugha kali tofauti na zamani

    Wadau nimejichanganya samahananini ujumbe wa chini
  3. F

    Mke mjamzito kuwa mwenye fujo, mbabe,lugha kali tofauti na zamani

    Habari Wadau, Kuna jamaa yangu amekuja kunitembelea nikamsuluhishe na mke wake analalamika kuwa mke wake ni mjamzito na amekuwa mwenye fujo lugha mbaya,na hata kumuona hadi atake yeye tofauti na zamani je ujauzito waweza pelekea hio hali?na ni kwa nini? tumsaidie jamani. Karibuni kwa ushauri
  4. F

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    Pole sana mpendwa mm nauliza mke wangu mazingira anayokaa ni ya kumpa joto sana je inaweza kuwa chanzo cha pressure kushuka?
Back
Top Bottom