Search results

  1. D

    Mbowe ampongeza Jk wakati wapinzani wakihaha ni namna gani wameibiwa?

    Hii ndo Afrika bwana. Na hiyo ndo SI HASA.. Anachosema leo mtu kesho si Hasa... Waafrika tuzinduke tuacheni ujinga.....
  2. D

    Elections 2010 Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni

    Hii ndo Afrika bwana na hao wawekezaji wa nje (wazungu, n.k) ukienda ktk nchi zao utakuta zimejaa lami mpaka milangoni mwao, ili hali hawachimbi madini wala kulima mahindi (eg Japan). Hakika nakwambia wao ndio kiini cha matatizo na shida za Afrika nzima. Wanatengeneza silaha.., wao hawana...
  3. D

    An opportunity to earn 6 figure income part-time

    Hao ni matapeli, kama wana hela za chapchap hivyoo ni bora wazipeleke m'nyamala hosptl kwenye wodi zisizo na vitanda wagonjwa wapumzike vizuri. Au la wakawape watoto wa wajomba na mashangazi zao. Kwa taarifa yako sasa wewe ulietuma tangazo hili: Watanzania wengi wamekuwa wakiandika sensitive...
Back
Top Bottom