Search results

  1. W

    Bunge laahirishwa ghafla, ni baada ya Zitto kuomba Muongozo

    Nimeona umeulizwa kuwa Uko Darasa la Ngapi? Bunge la Uingereza linarushwa LIVE mpaka huku kwenye SKY NEWS tunaona.... na ile Nchi imeshaendelea; na watu wako BUSY kuliko huku Tanzania.. Wewe uko busy kuliko Mzungu? halafu bado Maskini katika Nchi Maskini duuuh... Bora uangalie tu TV... hahahahaha
  2. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Sawa. Mimi nilikuwa nataka kujua kwanini mnajivunia umasikini wa Mchungaji wenu? Na kwa kuwa masikini Askofu wetu, ninyi Imewasaidia nini kama washirika so kama Kanisa? Mimi nampenda sana Askofu Kakobe. Mungu amuepushie mbali na hawa waumini waovu. .. Mungu mbariki Kakobe.
  3. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Smirna, mhabarishaji na GBSS ni washirika wanafiki wa Kakobe... mmekazana kusema kwamba watu wanasema kuhusu Kakobe kumbe ni ninyi mnaofurahia Maisha magumu ya Mchungaji wenu.... Mungu awasamehe. ..
  4. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Kulikuwa na kipindi cha Mkasi alihojiwa Mch. Lusekelo akasema kuhusu utajiri wake wa Magari na Majumba bila kujificha... Na akasema hana biashara... Maana yake pesa zinazotumika ni za Kanisa au Waumini... Lakini hakuwa na hofu kusema hivyo na wala Kanisa lake halijasambaratika... Watu wanaenda...
  5. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Ni Mtumishi wa Kweli kwa sababu ni Maskini?? Hebu kwendraaaa.... Ndio maana wapentekoste tunadharaulika sana... GBBS kaone thread humu JF zinazowasifu Watumishi kama Mwingira na Lusekelo kwa utajiri wao...!! Wale ndo Washirika au Waumini wa ukweli...
  6. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Smirna na Mhabarishaji... Naona wewe ndo una mashaka na pesa alizonazo Kakobe na unazitolea macho na udenda... Unafurahii akiwa maskini eeh... Basi mwacheni awe MASKINI maana na yeye amekubali kuwa hivyo.... Anafikiri akiendelea kukaa hivyo atapewa Zawadi ya Nyumbani na Watanzania... Kamwe...
  7. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Kwani lengo la hii thread ni nini?? Faida yake ni nini??
  8. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Leo nimeanza kuwachukia watu wa karibu wa Kakobe... Hamtakii mema kabisa...
  9. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Mi nataka Wachungaji na Maaskofu wote waishi maisha ya raha ... Kwa sababu kwa kuwa Watumishi wamekuwa tayari kutumia maisha yao na muda mwingi kwa ajili ya waumini... Sasa kama ni utajiri kila mtu si awe mchungaji...
  10. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Askofu Kakobe aambiwe kuwa kikulacho kiko nguoni mwake... Aliyeandika haya hapa ni mshirika wake wa Karibu sana ... Na hataki Kakobe afanikiwe kwa lolote...
  11. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Mimi nataka kufahamu Mhabarishaji alikuwa na lengo gani kuleta hii mada... Na wewe Smirna una matatizo gani na Askofu Kakobe wako?? Mpaka aje kuomba pesa nyumbani kwako ndio utafurahi??
  12. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Sasa naye huyo mwanaye eze atakuwa MJINGA kupitiliza kama ana elimu hizo za Computer na hata kagari hana? Magari siku hizi ni yamechukua nafasi ya Baiskeli tu... Ndio maana bodaboda haziendi mjini... Wanataka magari ndo yaende...
  13. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Wengine wanaweza kuhoji anakula nini?? Analalia kitanda gani?? Anaogea sabuni ya gharama gani?? Huu ni ujinga au utoto...
  14. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Ninyi washirika wa Kakobe kweli hamumtakii mema Kakobe wenu... Sasa tutaenda hata kwenye Mavazi yake Kakobe... Mbona Kakobe Suti anazovaa ni ghali sana?? Nionavyo ni kwamba jumla ya pesa au gharama ya nguo anazovaa Kakobe ni kama gharama ya Gari.... Sasa kuwa na gari au magari, nini ishu??
  15. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Washirika wa Kakobe hasa huyu Mhabarishaji na Smirna.. Aidha ni washirikina au wana mashetani.... Nami Nawasilisha...
  16. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Wala Askofu Kakobe asitegemee huruma za Watanzania kumpa utajiri wa Duniani... Wengine wanataka apande hata Daladala au bodaboda... Ndio maana hata washirika wakampa Gari used "mtumba".... Ndio washirika wake wanaona ndio vinamfaa....
  17. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Kutokuwa na utajiri kimemsaidia nini Askofu Kakobe.. Mbona watu hawajawahi kuacha kumsema?? Askofu Kakobe hajafaidika kuwa maskini bali atazeeka tu na kushindwa kufanya huduma aliitiwa na Mungu...
  18. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Kwa hiyo wewe GBBS unafurahia kabisa sana Umasikini wa Kakobe?? -------- wewe.... Mimi sio mshiriki lakini sio mara moja ninakuja pale kanisani... Naanza kutiwa shaka...
  19. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Sasa kama hana mafanikio ya maendeleo.. Ambavyo ni vitu vya muhimu kwa binadamu kama Nyumba na vinginevyo... Basi ninyi washirika wa Kakobe mnataka kutuambia kwamba Kakobe ni Mganga wa Kienyeji?? Maana Waganga wa Kienyeji ndio hawana mafanikio .... Wewe Mhabarishaji na Smirna mwambieni Askofu...
  20. W

    Hii hapa nyumba pekee ya Askofu Kakobe

    Mimi sijafurahia Kujisifia umasikini wa Kakobe KABISA... Aliyeandika maneno hayo juu ndiye anayependa Kakobe awe masikini maisha yake yote... Yoyote anayeshabikia UMASKINI wa Kakobe atakuwa ana matatizo... Kama wewe Smirna na Mhabarishaji ni washirika wa Kakobe.. Basi Kakobe hana washirika...
Back
Top Bottom