Search results

  1. M

    Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

    Ngoja uone akili za bagamoyo na za ukawa zipi kubwa
  2. M

    Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    hahahahaha wewe umepewa bei gani kina ray na aunt ezekiel wamepewa 50mil each wewe unaleta ushabiki wenzako wananunua malory kila siku wewe sijui hata kama baiskeli unayo kama nayo ni ya mkopo shenxyx
  3. M

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    sawa kama wewe umemsikia fanya maamuzi yako mimi namuelewa lowasa nitamchagua
  4. M

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    lets wait and see jinsi siasa zinavyozidi kuharibu taifa
  5. M

    Magufuli na ikulu

    ukawa ndo jibu la matatizo yote
  6. M

    Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

    Juhudi zipi katika kazi 1) Miaka hamsini Taifa letu halina ndege hata moja?? 2)Ufisadi umeshamiri kila kona 3)Madawa ya kulevya na vijana wanazidi kupotelea humo kwenye matumizi ya madawa ya kulevya 4)Barabara zilizojengwa hazina viwango hazina alama za barabarani, haziana waenda kwa miguu (...
  7. M

    Elections 2015 Dr. John Magufuli halisi usiyemjua na yule unayemjua kupitia CCM! Ni HATARI kwa Taifa!

    Kwa kifupi tunataka majina ya watu walioingiziwa pesa za escrow kataika akaunti zao za stanbic
  8. M

    Dk. John Magufuli ampiku Lowasa. Ni mpambano wa mikoa 23 kwa 4

    mikoa 23 ndo imefanyaje?? ngoja uone kivumbi hata iyo mikoa utabadili mada utakuja kulea mada za kata na wilaya mabadiliko ni lazma na lazma mrudishe ela zetu zoote escrow, meremeta kagoda richmond na tembo wetu mtawarudisha, na mtawapeleka mateja wote methadon mliowaharibu
  9. M

    Pole Mnyika, Ubungo inaenda kwa Masaburi!

    Masaburi yule anaejisaidia humo humo?? Tangu lini ubungo ikaongozwa na akili ndogo?
  10. M

    Wanaokimbilia CHADEMA Wanampenda Lowassa au Wanamkimbia Magufuli?

    tumefika hapa kwa udhaifu wenu
  11. M

    Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

    dola ipi iyo?? ya madawa ya kulevya na kuua tembo wetu???
  12. M

    UKAWA, hii vita ni kubwa

    ndo maana mnalishwa punda na wachina huko idododmya maana mingombe imezidi kuwa mingi
  13. M

    Kamanda Lowassa: CCM ni hodari kwa kuiba kura

    Yuko dodoma na magamba mtamuona siku ya uzinduzi, ccm imesha kufa toka mumpe mswahili wa bagamoyo nchi akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa wanaishia kununua malory ya kusafirisha mafuta nje ya nchi dah aibu sana na tutataifisha hayo malory yote
  14. M

    Kibakwe: Ni Engineer Gabriel Mwikola Vs Simbachawene via CCM

    simbachawene akaanzishe mradi wa kufuga nyuki
  15. M

    Tanzanian investments in Kenya: any official statistics?

    ela zetu zipo uswis zinapumua hata ivo bidhaa zetu nyingi hazikidhi viwango
Back
Top Bottom