Search results

  1. 9

    Dodoma: CCM na Polisi wanapita kwenye guest house wanatoa watu kwa nguvu

    Heading inajieleza. Guest house nyingi hapa Dodoma zilikuwa booked kwa siku ya leo 11/03/2017 na kesho. Kwa sasa watu wanazidi kumiminika kiasi kwamba hotels, guest house zimekuwa hazitoshi. Wanachofanya sasa ni kuingia kwenye hotels, nyumba za wageni na kutoa watu kwa nguvu ili hawa wajumbe...
  2. 9

    BVR Arusha

    Wajameni habarini za jioni. Kuanzia Jana nilikuwa ktk kituo cha kuandikisha kura kata ya sekei mtaa wa Goliondoi. Nilichokipata pale goliondoi ni kupoteza muda siku ya jana nzima na Leo siku nzima. Ule mtaa hauna watu wengi wala hauna 'bandiduz' I mean korofindoz, pale ni watu wastaarabu sana...
Back
Top Bottom