Search results

  1. M

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Waziri Ummy alikua pia dactrari..?? Mbona hukuwahi kuhoji..? Rais amejaribu kuweka viongozi kwenye wizara husika MTU mwenye uelewa na wizara hiyo. Na hii ni karibia wizara zote. Wewe unataka Ma Engineer au Maafisa kilimo ndio wawe ma RMO na DMO..?
  2. M

    WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

    Labda zipigwe kura za MARUHANI lakini Magu lazma ashinde tuu..!!
  3. M

    Mwigulu Nchemba na kashfa ya kudanganya umri

    Alivyogombea uraisi last year alikua anakidhi vigezo vya umri, means alikua na zaidi ya 40years. Sasa nyie hiyo ya 1978 mmeipata wapi..?? Angekua amezaliwa mwaka huo angekubaliwa na katiba ipi kugombea uraisi..???
  4. M

    Bilioni 60 zatengwa kufufua kiwanda cha matairi cha General Tyres cha Arusha

    This is a very great move..!! IDADI ya magari Tanzania inatosha kabisa kukipa soko la uhakika..!! Hapo bado nchi za East Africa na Congo. Mi nadhani kikifufuliwa halafu kikatengeneza matairi bora kama iliokua inayatengeneza hakitakua na mshindani..!! Wakitoka hapo wavifufue Viwanda vya ngozi (...
  5. M

    William Lukuvi, will you make a good Tz PM?

    Hizo wizara nyingine mbona hakuonesha hayo makeke..!! we want someone who his/her performance has never been questioned..!! Prof muhongo, dr mwakyembe and mwingulu can fit this position..!!
  6. M

    Mapinduzi yaja Tanzania

    Tuanze kwanza na kutengeneza vyama ( chama) vya siasa vyenye uzalendo na demokrasia ya dhati, vyenye nia ya kweli ya kumkomboa mtanzania..!! Tukifanya hivyo kweli tutafanikiwa lakini kwa maigizo yanayoendelea ni ngumu sana kutafunika...
  7. M

    Maskini Tanzania!

    Watanzania sio wajinga kama ulivyofikiria...!! Hatuwezi kumpa fisi atawale nchi..!! Mpaka upinzani utakapokua upinzani kweli na sio timu ya wasakatumbu ndo tutawachagua upinzani...:hand:
  8. M

    Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    Waandishi pia The Hegue inawahusu..!! Wanafikiri yule muandishi wa kenya alijipeleka..? Ngoja hayo machafuko wanayoyaombea yatokee tutawashughulikia..
  9. M

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Si alisema zito hakumsaidia 2010..!! Haya tuone sasa kama anaweza kusimama na miguu yake..!! Its sad kumpoteza mnyika but he is not honest..!! So aende tu..
  10. M

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Halafu wanatufanya sisi wajinga kwamba hilo hatulioni..
  11. M

    NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Umetumia ratio ipi..? List ya wafanyakazi wote wa NSSF inaonyesha wenye majina ya kikiristo ni more than 65 percent..!!! Shida yako kubwa ni Boss wa NSSF, Peleka udini kwenye ukoo wenu, kama umekosa sifa nenda kalime bamia..
  12. M

    Naipa Serikali Siku 7, kama Mkuu wa Majeshi hatajitokeza...

    Kamuulizie officine kwake au nyumbani kwake caz haishi wala kufanya kazi jamii forums...!!!
  13. M

    Yu wapi Zitto Kabwe?

    ACT itawashangaza oct 25. Ndo Mtajua zito alikua wapi..!!
  14. M

    Serikali itueleze sasa alipo Mkuu wa Majeshi, tuna haki kwa mujibu wa Ibara ya 18 ya katiba ya nchi

    Kwani watu wote muhimu unajua walipo..?? Au mpaka Angekua kwenye campaign za UKAWA ndo ujue alipo...?? Nenda Officine kwake ukamuulizie kama una shida nea sio huku...!!
  15. M

    Ushauri wa bure kwa Masoud Kipanya

    Lowasa ndo hot news kwa sasa wewe unataka achore tumbili ndo ufurahi...?? Kila jambo na wakati wake acha ushabiki mbuzi...
  16. M

    Edward Lowassa special thread

    Hatutaki nchi ije kuongozwa na makamu wa rais...
  17. M

    Zitto achukua fomu Kigoma mjini

    That's a great move..!! Kumkosa mtu kama zito bungeni ni pengo lisilozibika..!! Tunakutakia kila la kheri comred..
  18. M

    Majibu ya Mnyika kwa Zitto ya Ubunge Ubungo 2010

    In politics watu hukumbuka maneno yaliosemwa na mtu wa mwisho na wakwanza..!! na sio wa katikati..!! Ndo maana chama cha kijani kila uchaguzi wao ndo wanafunga kampeni pale jangwani ...!! Hi sio bahati mbaya bali ni mkakati. Sasa wewe ukisema alikuja siku ya mwisho so kwako sio issue but trust...
  19. M

    Chama cha Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT) Chasajiliwa

    Wasaka tonge tu hao hamna jipya..!! Kama wanafuata falsafa za nyerere wajiunge ACT..!! Kama ni mrengo wa kati UKAWA ipo kama mabepari waende kwa the greens..!! Sasa vyama vinatosha tunataka sera na mikakati na jinsi ya utekelezaji wake...!!
Back
Top Bottom