Search results

  1. Vaticano

    Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

    Endelea na uzuzu wako wa kuishia kuhesabu. Au peleka vilio kwa moderators basi.
  2. Vaticano

    Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

    Ule umati wote wa Wachagga uliojitokeza kumpokea na kumsikiliza JK walikuwa wale wafu waliofufuka ambao kwa nguvu ya padre aliyefulia hawataweza kufufuka siku ya uchaguzi kwenda kumpigia JK na mgombea wa CCM? Acheni habari za kitoto hizo.
  3. Vaticano

    Elections 2010 Mkutano wa kampeini jimbo la Bukoba mjini Chadema na picha

    Watu walikuwa wengi kweli kweli. Chadema lazima ichukue nchi November 10!:becky:
  4. Vaticano

    Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

    Hilo tsunami la pombe ya mbege litaishia Kimara na Mbezi tu.:becky:
  5. Vaticano

    Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

    Walijaa zaidi ya hii wakati wa Mrema, itakuwa wakati wa huyu padri aliyefulia?
  6. Vaticano

    Elections 2010 Hki ni kipindi kigumu sana: tukumbuke silaha zote pamoja na maombi

    Kama kura zinapatikana kanisani, mwambie Silaa asihangaike kuwakusanya walevi wa mbege Moshi.:becky:
  7. Vaticano

    Hatimaye Magazeti yote leo yaonesha ukweli mikutano ya slaa:Mafisadi watayanunua yote

    Kuuliza Wachagga kujaa kwenye mikutano ya Chadema ni sawa na kuuliza mchanga beach.
  8. Vaticano

    Mafanikio ya serikali ya CCM chini ya Kikwete, DETAILED!

    Hivi CCM iko duniani miaka 25 kumbe? Kuanzia 1977 mpaka 1985 ilikuwa haipo au mnaficha kitu? Nchi imejaa wagonjwa wa akili. Kazi kweli kweli.
  9. Vaticano

    Ole wao wanafiki... washukuru Nyerere hayupo

    Mbona vingine huombi uondolewe?
  10. Vaticano

    Elections 2010 Je, wamjua msaidizi wa karibu wa JK kwenye masuala ya maendeleo ya jamii?

    Baba wa Taifa yupi? Yule aliyeidumbukiza nchi kwenye umasikini wa kupindukia?
  11. Vaticano

    Slaa alalamikia bendera za CCM kwenye sehemu za biashara

    Na huo ndiyo unaona ustaarabu mzuri? Kama siyo undondo wa kisiasa, basi ni utoto wa kisiasa.
  12. Vaticano

    Elections 2010 Maisha ya Dr. Slaa ndani ya TBC1

    Kwa hiyo tukachague viongozi wenye maradhi na ujinga kwenye familia zao kwa sababu "hata yeye katika familia yake yanamgusa". Bora hata usingevunja huo mwiko ulioudai.
  13. Vaticano

    Elections 2010 Maisha ya Dr. Slaa ndani ya TBC1

    Nyerere alikuwa na nyumba Magomeni na Msasani. Ni "Mtanzania gani wa kawaida" alikuwa na nyumba za beach house Msasani? Tena hiyo nyumba ya Msasani tulitapeliwa. Kwanza wakati anang'atuka na kuzunguka nchi nzima kwenda kuaga huku akipokea kila aina ya zawadi aliizuia nyumba ile kwa serikali...
  14. Vaticano

    Elections 2010 Maisha ya Dr. Slaa ndani ya TBC1

    Isipokuwa hela za kwenda "kuchumbia" wake za watu ndiyo unazo?
  15. Vaticano

    Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

    Hizo ndiyo zao hizo. Wanazungumzia protokali lakini zile za kuwatambulisha wake za watu kama wachumba zao hawaoni kama ni ushenzi.
  16. Vaticano

    Elections 2010 Chaguo Letu Bumbuli: January Makamba

    Wewe ndiyo Sheikh Yahya wa ukumbi huu ama vipi?
  17. Vaticano

    Elections 2010 Serikali ya Kikwete imeleta maendeleo kwa watanzania

    Wacha vidoli vifurahie mgombea wao. Mbona mdoli wa Slaa ulipotambulishwa pale Jangwani mlishangilia?
  18. Vaticano

    Elections 2010 Makamba amstukia slaa

    House of Great Thinkers indeed! Labda House of Great Drinkers.
  19. Vaticano

    what is it?

    Padri akikuambia inama, unakataa?
  20. Vaticano

    Kama Uchaguzi Mkuu Ungefanyika Leo...

    Naona bado hujaacha tabia yako ya kuipiga vita CUF popote pale unapopata nafasi. Unadai nguvu hizo za mwaka huu haziwezi kulinganishwa na za mwaka 2005. Je hamkuwa nyinyi waandishi wa habari mliokuwa mnatuambia mwaka 2005 kuwa mpambano wa urais ni kati ya Kikwete na Mbowe tu na kumtoa kwenye...
Back
Top Bottom