Search results

  1. alpha1

    Chinese Bluetooth Speakers

    Habari mkuu. Nenda kwa fundi wa vifaa vya electronics umwambie akuundie Delay System yenye relay kwa ajili ya kuzuia hiyo kelele usiyoitaka wakati kuwaka na nyingine ya Under Voltage Lock Out(UVLO) yenye threshold voltage iliyo juu kidogo kuliko original UVLO hata tofauti ya milli-volts kadhaa...
  2. alpha1

    Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

    Hiyo hata akifanyaje haiwezi kufanikiwa anachotaka. Asome kanuni za umeme, ataujua ukweli.
  3. alpha1

    Vijana tukumbushane, tusisahau kupima, Kaswende, Kisonono viko nje nje

    BIOLINE HIV/Syphilis Duo Rapid Test Kit
  4. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Habari Mkuu. Home Theatre yako ilishapona?
  5. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Habari Mkuu. Ulifanikiwa kuwapata mafundi wazuri wa Home Theatre kwa Dar?
  6. alpha1

    Msaada wa kutatua hili tatizo kwenye hii Sony Home theatre

    Kaudunde Kautwange Ulifanikiwa Mkuu?
  7. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu, si mradi TL au TL494, bali pia package yake pia ni muhimu. Hili suala nimeshalieza kwenye post zangu zilizotangulia ila milango ya ufahamu imefungwa watu wasielewe. Ni TL494 ya kubandika, si ya kuchomeka, na upatikanaji ni mgumu baadhi ya maeneo, ndo maana nimeuliza mhitaji mahali alipo...
  8. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hiyo IC ya kuwasha inverter ya subwoofer yako ni package ya SOIC-16 au SOP-16, zilizo nyingi madukani ni PDIP-16 package. Ila inategemeana na eneo ulilopo, jaribu unaweza kupata. Kwani uko wapi?
  9. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kweli zipo nyingi. Je, kwa package hiyo ya SOIC-16 au PDIP-16?
  10. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Habari mkuu. Hivyo ni KA7500, Fixed Frequency PWM Controller. Ni pin to pin compatible na TL494.
  11. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Basi ushauri wa post #2613 unakufaa
  12. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Japo sijui algorithm iliyotumika kuandika program ya hiyo subwoofer, tatizo litakuwa contents za EEPROM ambazo zinatumika kama default setting values za subwoofer yako zinakuwa zime-corrupt. Mfano, kama volume ilikuwa inaanzia 10, ikabadilika ikawa 23, ikatunzwa kwenye EEPROM, itaendelea hivyo...
  13. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Minimum na maximum volume ni ngapi?
  14. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu BUSH BIN LADEN, japo sijajikita zaidi kwenye matumizi ya Consumer Electronics, bali R & D ya hiyo field upande wa digital technology, uzoefu wangu mdogo upande wa matumizi ya HT unaniambia kwamba HT yako haina hitilafu ni settings tu. Japo hiyo HT ni 5.1 capable, imesetiwa kwenye mfumo wa...
  15. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu Prince Mhando, hiyo Subwoofer yako unvyoiwasha inawaka sauti kubwa sana ghafla au inaanza sauti ndogo ndiyo inajipandisha? Je kwenye display inakuwa inaonyesha level ipi ya volume?
  16. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mkuu La Pronto, samahani kwa kuchelewa kutimiza ahadi yangu kama nilivyoahidi kukurejea ndani ya Siku tatu, kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Hiyo HT yako ikiwaka inatoa sauti ndogo hata kama utafikisha max volume? Je, kama ni ndiyo, inakubali kupunguza hiyo sauti ndogo hadi...
  17. alpha1

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Wakuu Prince Mhando na La Pronto, karibuni katika ulimwengu wa Digital Technology. Kwanza poleni kwa changamoto zinazo wakabili. Napenda kutoa msaada wa kitaalamu,lakini mazingira si rafiki. Nitawarejea ndani ya Siku tatu.
  18. alpha1

    Natafuta fundi projector

    Mshana Jr kama unamaanisha taa ya projector, japo lens pia inaweza kuchubuka au kuharibika kwa namna nyingi , kama component yeyote ya electronics inavyoweza kuharibika, sina neno. Taa pia ukipata replacement yake inaendelea kufanya kazi. Hebu tafiti zaidi. ELIMU HAINA MWISHO
  19. alpha1

    Natafuta fundi projector

    Habari. Ni lens au taa? Ikiungua power supplly pia unabadili lenz inapona? Kama tatizo ni taa, ukiweka mpya au ukafanya modifications ukaweka taa ya LED haitapona? Kumbuka duniani watu tunatofautiana uwezo, ninapoishia mimi, ndipo wewe unapoanzia na kusonga mbele, unavuka limit niliyokuwekea kwa...
Back
Top Bottom