Inawezekana kuna ada tofauti tofauti ambazo wameweka. Lakini ni vizuri na busara kuwaomba wakupe statement/muainisho wa makato kwa kila mwezi hadi unamaliza mkopo.
Hiyo statement itakupa mwongozo kwa sababu itaainisha makato yote.
Ukitaka kusaidiwa vizuri, andaa hesabu zako vizuri.
Mkopo uliochukua - hujaweka bayana
Marejesho kwa kila mwezi - 138,000
Marejesho kwa mwaka - 138,000 *12 months = 1,656,000
Marejesho kwa miaka nane 1,656,000*8 = 13, 248,000
Kwa maana hiyo wamekupa document ya jumla ya marejesho 13,520,000...
Kama kweli jamaa ni gaidi, basi kiuhalisia jamaa ana moyo mzuri. Sijui kilichombadilisha ni kitu gani mpaka akawa hivyo. Kwa sababu angependa angeuwa watu wengi zaidi.
Nakupata, lakini pia kumbuka pale kwenye kibanda kuna askari alijaribu kumfikia na kumpiga risasi kwa bastola lakini kwa bahati mbaya yule askari akapigwa risasi ya mguu au kiuno ( sina uhakika).
Ila naanza kuamini jamaa sio gaidi, kwa sababu angependa kumumaliza yule askari aliyempiga mguu...
Mimi ninaomba siku moja uende range halafu upande gari inayotembea na upewe target. Kaka ni ngumu.
Ndiyo maana hawa jamaa wanatakiwa kufanya mazoezi kila mara.
Mimi na wewe tunawaza kitu kimoja, lakini alipopigwa risasi alikuwa amebaki na bunduki moja na inawezekana alikuwa na ile bastola yake bado.
Baada ya kumpiga na kudondoka, cha kwanza kabisa ni kuchukua silaha yake kama yule askari alivyofanya, lakini pia ilitakiwa kumgeuza na kumsearch kama ana...
Yah kabisa mkuuu, japo nadhani walikuwa wanazuia secondary threat ndiyo maana wakawa wanamuongeza risasi.
Secondary threat hutokea iwapo mnadhani mtu amekufa ilhali kumbe anawalia timing msogee ili achomoe bastola awamalize.
Ni ambush kweli, japo askari waliamini jamaa ana shida kweli, lakini kumbe alikuwa ana lake kichwani.
Yule askari aliyepigwa bega kumbe alikuwa anakimbia ndiyo akawashwa ya nyuma na kudondoka akikimbilia baharini.
Mudawote: Sio uzembe wa askari. Kumbuka pale askari wanapokaaga ni kibanda cha nje upande wa baharini, na watu huwa wanapita pale.
Kuna bodaboda mmoja alimgonga mtu maeneo ya pale pale leo, baada ya askari kupima ajali, askari akamwambia bodaboda aache pikipiki hapo ili ampeleke aliyemngonga...
Inawezekana! Japo sijafurahia askari wetu. Walivyompiga risasi na jamaa akadondoka, ilitakiwa kumnyang'anya silaha na kuokoa maisha yake ili wapate mengi kutoka kwake.
Umeongea ukweli na kwa uchungu sana.
Ni kweli baadhi ya watu wanaajiriwa kwa MEMO na kwa sababu wana ndugu zao wenye vyeo bila kuwa na moyo wa ndani wa utumishi.
Lakini nadhani kwenye hii issue, hata kama una moyo wa utumishi namna gani uvamizi waliyofanyiwa hawa askari ungempata askari yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.