Search results

  1. S

    Nafasi ya kazi Dodoma

    Nipo Dom kama utahitaji uzowefu nitafute.
  2. S

    Nafasi ya kazi Dodoma

    Usiwe na shaka. Nikupe ushuhuda mtu wangu, mie nina degree ya utawala na nilisota ile mbaya nikaona nijikite katika biashara ya bodaboda na maisha yakawa yanaenda na niliendesha na nikawa napata hata pesa za kwenda kwenye interview sehem mbalimbali hapa nchini (nimeajiriwa sasa). Ushari wangu...
  3. S

    Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

    Pole sana Mbishi, usijutie kilicho pita hata kidogo, ila kinacho hitajika ni kujipanga kwa kutumia elimu yako uliyo ipata kuweza kufanya shuhuri yoyote upate kipato cha kujikim. Mfano mie nina elimu ya chuo kikuu kwa sasa nimejiajiri kwenye bodaboda ninapata pesa nzuri na ninaiheshim kazi yangu...
  4. S

    take a look at this

    mwenye sura mbaya kwa kawaida roho nayo mbaya, majirani zetu ndivyo walivyo tuwazoee tu na tusidanganyike amani yetu tuilinde na ikibidi tuitukuze. ndugu zanguni tuwe makini sana na wanasiasa tusishabikie tu bali tuangalie watatufanyia nini? maana makundi nahisi kama yananza!! haswa ya...
  5. S

    Miss JamiiForums

    mwanagu kifaa cha ukweli, mkuu shemeji nini?
  6. S

    Timu hii itafungiwa kwa muda wa miaka 5 kuanzia 31 Okt 2010?

    timu hii si mchezo haya nipe na ya upande wa pili! marefaree wako tayari or zimeingia mitini?
Back
Top Bottom