Hakika PAC walikuwa na malengo machafu! Zito ni wazi anatumiwa na SCB kupelekea kulipwa asichostahili. Kama SCB anadai angejitokeza na kudhibitisha deni lake. Hata sasa akidhibitisha atalipwa na IPTL. IPTL ni solvent company. Kuwa Creditor hakumfanyi kumilki IPTL., SCB waaache hizo kuwatumia...
Zito ni mwongo na mnafiki sana! ni hatari kumwamini. Na nashangaa anaendelea kuhubiri uongo kule lindi na mtwara. nimejua pia ni mwepesi kutumiwa na maadui wa nchi n kutuangamiza. Namuuliza standard chartered Bank wamempa ngapi?
HUYU NI FISADI NYANGUMI
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe.
Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki...
Kwa miezi kadhaa sasa mhariri wa Nipashe amekuwa akiendesha kampeni maalum na si bila ya maelekezo ya Dkt Reginald Mengi ya kuhakikisha kwamba Profesa sospeter Muhongo ama anafukuzwa kazi au anajiuzulu. Hili la akaunti ya Escrow limekuja tu katika kipindi ambacho tayari kulikuwapo na kampeni...
Da kaka unmetoa data vizuri sana, kwani suala hili la Escro watu wanadhani kuwa haya maamuzi ndiyo yatakuwa mwarobaini wa rushwa na ufisadi nchini, kama nchi ni lazima tukaechini na tujitafakari kuweza kuona ni nini cha kufanya na tuache kusolve mambo magumu kwa majibu mepesimepesi na ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.