Search results

  1. H

    Nampongeza Ufo Saro, mwandishi wa ITV aliyeko na Msafara wa Dr Slaa

    Wana JF sijui maoni yenu, Ila mimi nampa Big up huyu mwana Dada! Hachakachui Picha na habari pale anapowasilisha studio. Pia nampa pole kwa mizunguko yote ya Dr Slaa. Ningekuwa mshauri wa Dr nitamshauri amkumbuke huyu reporter katika ufalme wake atapoingia ikulu ampandishe Daraja!
Back
Top Bottom