Search results

  1. J

    Mlioomba nafasi za Afisa Maendeleo ya Jamii tupeane mbinu

    Unasoma field ipi sasa duuu
  2. J

    Maswali ya Afisa utumishi na Afisa tawala

    Wakuu tusaidiene anae fahamu maswali ya Afisa utumishi tafadhari amwagike tunifunze wote
  3. J

    Chanzo cha msongo wa mawazo na moyo kushtuka

    Nisaidieni nini kinasababisha msongo wa mawazo mpka mtu anashindwa kusimamisha uume hizuriii
  4. J

    COGNITIVE ASSESSMENT Report

    Wakubwaa habari za majukumu... Tuwekane sawaa kwenye hili cognitive report ni kitu gani na nini ? Kuna shirika linataka Cognitive report ili procedure za kuaajili ziendeee: Je kwa tanzania kuna hizi mambo?? Kama zipo zinafanyikajee?? Nimeuliza nipate elewa na kujifunza in General on this please...
  5. J

    Naomba kuuliza kuhusu shirika la MDH

    Mi niko napiga nao kazi niko mkoa wa Tabora sio siri hawa hawana longo longo kama uko vizuri, kwa anae jitolea kwa mwezi anapata mia Nne na nauli juu so kama una qualification hasa ktk issue za Afyaa we nenda ofisini kaombe kujitoleaa
  6. J

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Hivi mazee ukimaliza kuomba no zote zikawa 100% na system ikasema maombi yako yametumwaa Tamisemi ...vip nikitaka kubadili inawezekanaa .?? Kwa mfano mie nimeambatanisha barua ya maombi na Cv je nikitaka kutoa natoa?? Au maombi yakitumwaa hayabadiliki??
  7. J

    Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

    Wazee na afisa ustawi wa jamii lazima asajiliwe?? Na barua ya usibitisho wa kazi kutoka kwa mkurugenzi kama uliwahi kujitoloea ni muhimu sana ..
  8. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Sio mbishi thinking capacity ya watu humu ni ndogo sana even reasoning hakuna watu wanajitamkia tu na nyie mnakubali....hakana email hata moja iliyo tumwaaa kuhusu kuendelea au kuto endeleaa aise zakuambiwa changanyeni na zenu....mtu from no where anakuambia mimi nilipata 70 nimeambiwa...
  9. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Daaa humu ndani Assumption ni nyingi sanaa kuliko ukweli.... HR ni wengi kuliko maelezo.... To be honestly Assumption mtoazo zote hazina ukweli wowote ule zaid mnapeana mapressure na matumaini yasiyo na tijaa... My take.. Subirini mda na wakati mtajua tu...msijipe vyeo vya Marasilimali watu...
  10. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Sio kweli....kupeana pressure tu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] na 15 unaendaaa wapi if ni issue ya written interview obviously they will take kuanzia 65 to 100 hiyo ndio taarifa niliyo nayooo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Ili ionekane haijafeli mpaka wewe upate ajira sio...Amka kijanaa Acha kuupumbanza ubongo wako kama mvuta Ugorooo. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Brooo kila nch janga la ajira lipo...ishu ya kusema chama fulani chaweza tatua swala la ajira ni uongo dont be bribed by politician....wanatumia snalio hiyo kwa sababu wanajua vijana ndio wengi mtaani na ili wapate kura lazima wajidefence by saying watatoa Ajira kuwa kipao mbele... Ushauri wangu...
  14. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Naaa hiii unaipata wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Mfano alie andikiwa 2000/0 maana yake nn na tofauti iko wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  16. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    It depend with the requirement since kuna branch za NMB zaidi ya 220 so still kuna possibililty ya kuitwaa hata walio pata 80 Sent using Jamii Forums mobile app
  17. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Nina 85 andamanaaa na unyeee kabisaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  18. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Hakunaga connection za hivo wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  19. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Watu bwana na wewe umeamin how comes aitwe bira oral interview....ni uongo na wewe pia ni boya unashindwaa kuchujaaa habari....sijajua level of education uliyo nayo... Ndio nyie mmescore 10,30,40,mnatafuta kujua what is real going on Sent using Jamii Forums mobile app
  20. J

    Nafasi za kazi, banking officers NMB Plc

    Na watu humu ndani mnakubari kwa kila jambo there is no such assumption let us be critically huyuuu jamaaa anatudanganyaaa kana kwamba sisi ni watoto....ever HR recruitment process hujui....acha kuwa weka watu roho juuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom