Search results

  1. W

    ACACIA waweka ushahidi hadharani kwa kampuni yao kusajiliwa nchini

    Yafaa serikali ilinde ofisi za BRELA wasije enda na matrillioni yao kuwarubuni, please serikali, fanya hivyo sasahivi.
  2. W

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Atakayekuwa Waziri yafaa awe na sifa hizi: 1. Awe ni mtu mnyenyekevu, 2. Awe hana rekodi yeyote ya wizi, upendeleo wala ushirikina, 3. Yafaa awe MZALENDO na mtu ambaye kweli tukimwangalia na kufuatilia maisha yake, hakuna chembe ya shaka kuwa ni MZALENDO na mwisho, 4. Awe na uwezo wa kusimamia...
  3. W

    Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    YES and NO. Dhahabu ya kutoka Buzwagi na Bulyanhulu inayochangamoto ya kuitenganisha kati yake na shaba pamoja na madini mengine yaambatanayo nayo.
  4. W

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Acha kutisha watu. Maendeleo hayaji kwa kuwa mwoga. Unamaanisha tuendelee kuibiwa? What a rubbish advice
  5. W

    TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

    RIP dada Chritina. Bwana Mungu awape moyo wa uvumilivu na ujasiri kukabiliana na msiba huu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.
  6. W

    PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

    Bwana Sanctus Mtsimbe, Nakupongeza sana kwa mawazo mazuri. Napenda kuongeza au kutahadharisha yafuatayo: 1. Kabla ya mawazo haya hayajawa implemented, lazima kuundwe THINK TANK la wataalam wa sekta zote (kilimo, ufugaji, uchumi, siasa, madini na gesi, intelijensia ya kimataifa na kitaifa...
  7. W

    Mtoto wangu anakunywa maji kila wakati

    Hii ni dalili ya Kisukari Type I. Kampime hospitali. Pole.
  8. W

    Siri Nzito: TPA (Bandari) walivyowazidi kete Magufuli, Majaliwa

    Asante sana HNIC. Wahusika wameshasikia juu ya kansa hii. Najua wapenda maendeleo na wazalendo wa Taifa hili wataushinda uovu wote.
  9. W

    Mustakabali wa waadventista Wasabato siku ya Usafi Jumamosi ya mwisho wa Mwezi

    Mimi nashauri hivi, kila tarehe 28 ya kila mwezi ndo iwe siku ya usafi bila kujali inaangukia siku ya J2, Ijumaa, Jmosi au J3. Nawasilisha
  10. W

    Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Ni kweli, naunga mkono hoja. Sasa ni wakati wa kutaja majembe mengine popote pale yalipo ambayo yalifichwa na watawala waliopita kimizengwe na majungu. Kumbuka, unapotaja mtu, eleza na sifa zake kidogo ili mh aweze kuona kama anasoma hapa JF. Taja, Jina, Wizara aliko na nini anafanya au alifanyiwa!
  11. W

    Je, huu sio uvunjaji wa haki za msingi za binadamu unaofanywa na serikali ya Magufuli?

    Yawezekana kuna sababu za kiintelijensia zilizoifanya serikali kumzuia huyu bwana. Pia inawezekana kwa cheo chake lazima aombe ruhusa Ikulu hata kama anaenda likizo kwa pesa yake. Hivyo, tusilaumu kabla ya kujua undani. Tumpe support JPM kwa nia yake njema na Taifa hili...
  12. W

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    True leader indeed.
  13. W

    Dr. Francis Michael, Dr. Tulia Ackson: Mmeonesha picha gani? Mmechafuka

    Mzee Tupatupa wa Lumumba DSM, Aisee umenistua sana. Kwamba hata naibu spika naye yumo! Mamaaa! Yafaa ajipime kama viatu hivyo anaweza kuvivaa kwa sasa...... Mzee Tupatupa, asante kutujuza.
  14. W

    Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

    Mwaka huu watu watapata kiwewe! Hahahaha! Sasa kila Wizara ikichambuliwa hivi, mfano Nishati na Madini na Wakuu wa Idara zake na wasaidizi wao walivyopatikana, itakuwaje? Je, TAMISENI? Mhhhhh! Waachieni wazee wa suti wafanye mambo yao. Hawa jamaa nawaaminia sana, sema mfumo ulopita, uliwaudhi...
  15. W

    Papa Francis ametukumbusha haya ndugu waungwana

    Wao! His Holiness is real godly man...
  16. W

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    1. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere ana NIA NJEMA na UZALENDO, 2. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere, anasimamia kwa dhati ANACHOOMINI, 3. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere, anahuruma na wa Tanzania wanyonge, 4. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere, yupo tayari kumfunga fisadi jela na kumchapa...
  17. W

    Kasi ya Rais Magufuli: Nani aliyewashauri Home Shopping Centre!

    Note that, THE IMAGE OF ANY COUNTRY TAKES THE IMAGE OF THE TOP LEADER.
Back
Top Bottom