Search results

  1. M

    msaada yangu tecno haionyeshi mafail

    simu yangu haionyeshi mafail ukiiwasha inaleta maandishi yafuatayo "Hi there" halafu chini yake START
  2. M

    Msaada, maumivu ya kifua

    kifua kuuma wakati huo kukohoa sikohoi na maumivu huwa nayasikia pindi nikiwa nimekaa nimetulia lakini wakati na kazi au busy huwa siyasikia na titi la kuxhoto huwa panauma na mara pengine mkono wa kuxhoto na ukikandamiza kifua kwa nguvu kinauma. tafadhar anayejua dawa ama aina ya ugonjwa...
  3. M

    Tatizo gani husababisha tumbo kuuma baada ya kufanya mapenzi?

    Naombeni msaada, ni kwa nini tumbo linauma baada ya kufanya mapenzi na je tiba yake ni nini?
  4. M

    Msaada: Tecno H5 nikiwasha Data inadownload Mafaili yenyewe

    simu yangu nikiwesha data inakuwa inajidownload mafile yenyewe na mengine hutokea kwenye screan kama yoyogame na mengine mwenye uelewa anisaidie
  5. M

    Tecno yangu H5 imecollapse launcher, mwenye uelewa anasaidie

    mwenye uelewa jamani maana haifanyi kazi yoyote na nimejaribu kuiflash lakini bado tu inakataa
  6. M

    ugonjwa wa safura unasababishwa na nini? n je dawa yake ni ipi?

    Mwenye uelewa kuhusiana na mada tajwa halo juu!
  7. M

    Msaada wa dawa ya kutibu minyoo

    Mwenye uelewa na dawa ya minyoo, ile ambayo inatoka yenyewe.
  8. M

    Msaada please

    kifua changu kinauma kiasi kwamba mpaka maumivu yanatokea mgongoni ila kukohoa sikohoi! mwenye kujua tatizi pliz anisaidie
  9. M

    Msaada please wa Tecno H5

    simu yangu kila mda inakuwa inasearch GPS, kwa hiyo nitafanyaje ili GPS isiwe inasearch kwa sababu inakula sana chaji
  10. M

    Jinsi ya kupata ujumbe na simu za mtu mwingine

    kuna application gani au jinsi gani ya kufanya ili niweze kupata sms na simu anazopigwa mtu mwingine zije na kwangu mim?
Back
Top Bottom