Kipimo cha kwanza cha ubora wa kiongozi makini ni uwezo wake wa kuteua/kuchagua wasaidizi makini wenye uwezo wa kutekeleza vision ya taasisi anayoiongoza. Kipimo cha pili ni umadhubuti na ujasiri wa kusimamia kile anachokiamini na cha tatu ni uwezo wa kukemea kwa nguvu na ikibidi kuwawajibisha...
Ooops!! Uhuru wa vyombo vya habari mashakani. Hii ni dalili kuwa Watawala wetu na virusi vya udikteta. Hao wengine ni "Darlings" (angalau kwa wakati huu) wanatumika kama vuvuzela wakati huu wakuelekea uchaguzi mkuu ila wakae wakielewa fungate lina mwisho wake. Kuna siku watakuja kukinywea...
Kwa mtu yeyote makini anayefuatilia mwenendo wa mambo yanavyoendelea katika ngazi mbali mbali za utawala wa nchi hii kuanzia serikali za mitaa mpaka Ikulu atakubaliana na mimi kuwa kwa miaka ya hivi karibuni kuna nyakati viongozi wamekuwa wakitoa matamko yanayotofautiana kana kwamba wanatoka...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kwenye jukwaa hili kuhoji uhalali wa Mke wa Rais kutumia rasilimali za walipa kodi kumfanya kampeni za kumrejesha mumewe madarakani. Ninatoa rai kwa wanajukwaa kujadili kama ni halali kwa mgombea tena ambaye hana nafasi yoyote kwenye serikali hivi sasa kupewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.