Elections 2010 Kwa mamlaka yapi?

Kindoli

Member
Sep 2, 2010
5
0
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kwenye jukwaa hili kuhoji uhalali wa Mke wa Rais kutumia rasilimali za walipa kodi kumfanya kampeni za kumrejesha mumewe madarakani. Ninatoa rai kwa wanajukwaa kujadili kama ni halali kwa mgombea tena ambaye hana nafasi yoyote kwenye serikali hivi sasa kupewa ulinzi wa serikali na kupambwa na wateuliwa wa Mh. Rais kufanya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa kwa fedha za walipa kodi. Picha hii inajieleza yenyewe
 

Attachments

  • Makamu wa Rais.pdf
    725.9 KB · Views: 73
Nimeiangalia kwa makini hiyo picha. ina maana tayari diary yake kama makamu wa rais imeshajaa kwa mwaka huu.
Na huu ndio utawala wa demokrasia. kila kitu holela
 
CCM wamepinda kupita kiasi. Kwa hiyo tuna makamu wangapi wa Rais? Au yule tumjuae siye tena.
 
Back
Top Bottom