Search results

  1. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Han Kyul hujaniambia endgame ya dongjin na hyewon kisa u team dahye Imebid nikasome more spoilers Ngoja nitazame sasaa
  2. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Asante kwa spoiler Na dongjin na dahye ilikuaje
  3. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mim nje ya korea bora nirud kwa hao wehu wamarekan, philipine wananipaga vibe za wahind ah. Hap nina arosto ya my sibling sijui namaliza na nin
  4. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hata kitaani juwon atakujaga kumtaka yu jung, he was swayed enough. Ni kwamba tu hakuwa anaziona side za seokyung, shida yujung atamkubal? Hyewon ajipe muda, mimi nliona dongjin nae alikua ameanza kupagawa nae sema vile haeleweki bora tu arud kwa dahye
  5. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nimeona hadi pozi la cover🙌🏾 Ila hapana kwakwel
  6. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mi sijaitazama laat week nasubir iishe labda
  7. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    🤣🤣 tujiulize maana hela ndo kama hivyo hakuwa nazo.
  8. talnam

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Kwanza hongera umefanya kitu kizur kwa moyo mzuri sana, hivi ambavyo unaumia kama usingemsaidia na hali ya mtoto ikawa vinginevyo ungejikuta hatian mara nyingi zaid Watu kama hawa wapo na kama ni hulka sio wa kubadilika kwasabab hamna sehem ya ubongo wao inaonyesha wamekosea. Wewe sasa...
  9. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Inawezekana maana nilihis kama nishawah ona ila sikumbuki wapi, mpaka nimekutana nayo tena coment section ya transit Couple inayoniuma ni Dongin na HW nataman wangeishia pamoja, Ila ndo hamna kinachoeleweka
  10. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mbona ulifanya siri hahahah, dah ni nzuri sana Yong woo mzuri sana awwh 😛 Ah exchange inakomesha mi ndo nlishangaa hizo final couple zilitokeaje watu sijui waliachana wiki ndo wakaingia humo
  11. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Han Kyul ivi una habari na pacha ya exchange ni My sibling’s romance nimetazama episode 2 ila am sooo hooked Kwanza watu wadhurii alafu roho safii sijui huki mbele Nasikia PD wa season 1&2 ya exchange ndo aloanzisha hii
  12. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    🤣🤣 ah mateso ya nin, hapa wiki naiona ndefu. Kama hii ep ya 7&8 ni hatari
  13. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mzee wa spoilers tuliaa Ila alojikaza atizame had ikiisha anawezaje maana ina kimuhe muhe hii drama
  14. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nina mtoto wa sister naona nishamfikisha huku Anakeshea drama jaman akiamka 2hr anajiandaa shule Shida ananiweza mie sa nne niko hoi bas ye anaamka anafungua device nikishtuka saa saba nakuta anatizama namsema, zaman nilimguide ambazo zitafaa kutazama ila saiv nahis akifungua tu anatizama yoyote.
  15. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    K Kama unayo nitumie telegram jana nime log in kila sehem ya kudownload inakataa, wakasema haipo accesible in my country nikatumia vpn lakin hola nimedownload app kibao. Alaf masaa matatu sio poa
  16. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Han Kyul umefanyaje kushusha ep 15 ya exchange? Kama unayo naomba nitumie telegram nahangaika kuishusha wiki yote majib ni 404 not found Na inanipa moto izo coment za wadau dramanice zimevunja record kwa dating show
  17. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    😃🤣 ata tuonje kwakweli Kuna vile vi energizer na lipbalm wanapaka had shingon Subway imekuja na sijakula, naogopa izo mixer zao
  18. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wal Wamezidisha mno nao Au na zile kunywa na wako kwenye medication eeh wakorea na soju, yan ni healing drama ila unaweza pata ugonjwa mpya 🤣🙌🏾
  19. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Flex ina ukawaida ila nzuri nzuri Queen of tears ni nzuri na inaonesha itakua nzuri zaid ila ndo ongoing sasa alaf wale daebak actors wapo wengi so ina assurance ya kuwa nzuri Itakua napenda historical ila zisizobase kwenye siasa sana, kwa huu mwaka hiyo ndo namba moja yangu eti
  20. talnam

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mara ya kwanza sikujua ni han sohee kipenz changu Sema kuna namna anavutia mno jaman
Back
Top Bottom