Search results

  1. Brown73

    Nimefanyiwa root canal treatment, inanitesa sana hata kula nashindwa

    Uko sahihi kabisa, nimekutana na mtu mwenye umri karibia 60, anasema hajawahi kwenda kwa dentist kwa sababu ya shida ya meno.
  2. Brown73

    Kwa kipekee kabisa naipongeza Serikali kwa kuanzisha kodi ya kizalendo kwenye miamala ya simu. Naomba Watanzania tuiunge mkono

    Usemalo ni sahihi kabisa. Kodi zikusanywe na zitumike ipasavyo, itumike kwa kuasaidia wananchi, na palengwe hassa pale panapo hitajika, Lakini kwa sisi wa Afrika, sio Tanzania pekee hatuna viongozi wa kusimamia masuala hayo, wao cha kwanza kabisa ni kjijenga wao kwanza, na asilimia kubwa ya hao...
  3. Brown73

    Kwanini viongozi wa kisiasa waliokulia kwenye maisha ya kimaskini wana roho mbaya sana tofauti na wale wa maisha mazuri?

    Ni kwa sababu hao waliokulia kwenye maisha mazuri wana roho mbaya zaidi kwa kuiba mali ya umma na kusababisha nchi kua maskini zaidi hadi huduma za jamii zinakosekana. Wao wanajirundikia mahela bila kuwa jali hao maskini wenye kipato cha chini. Wakina mama na watoto wangapi wanakufa kwa kukosa...
  4. Brown73

    Kituo cha Mabasi cha Magufuli kimegeuka soko kwa sababu ya usimamizi mbaya

    Yaani wamachinga wamekua sio watanzania tena. Yaani ni ubaguzi wa hali ya juu kwa hawa vijana wamachinga. Badala ya watu walete hoja nzuri ya kuwasaidia ndio kwanza wao wanaona kero hawavijana kuwepo hapo na kutafuta rizki zao. Ni kweli ndani ya hao vijana kuna vibaka lakini ingekua vizuri tuwe...
  5. Brown73

    Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

    😆😆😆 kweli kabisa, kama ndio akili imemrudi. Lakini bahati mbaya kashavuta sana chakwake. Na tusishangae tukasikia kwamba kasamehewa na karudishwa kwenye post. Napenda sana juhudi ya raisi lakini bado kuna mambo mengi yanatakiwa yawekwe sawa.
  6. Brown73

    Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

    Sasa kibaya hawa wamepeleka report kwamba mradi umeisha na watu wanapata maji. Yaani hawa wamwdanganya taasiai kubwa pammoja na wamwdanganya raisi na waziri wake. Hawa ni watu wa hatari sana
  7. Brown73

    Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

    Yaani hawa dawa yao ni adhabu kali, jela au wawekwe mahali hata ndugu zao wasiwaone kwa miaka 10. Hapo ndio watu wataogopa
  8. Brown73

    Monduli: Waziri Jumaa Awezo akuta maji hayatoki kisa Sh. elfu 50, amtumbua Meneja mbele ya Wananchi

    Hivi jamani pammoja na juhudi na hatua zinazochukuliwa bado kuna uzembe hivi wa hali ya juu. Na kwa nini hassa??? Mbunge kwanza ulikua wapi hadi mradi wa mabioloni unachezewa? Mkuu wa mkoa na hadi wa wilaya? Hadi waziri aje ndio haya madudu ya shughulikiwe? Binafsi natoa maoni ADHABU ya watu...
  9. Brown73

    Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Huyu mtu ana nia ya kuchochea vurugu, mungu amlani, kwenye youtube pia kuna mtu ameandika exactly kama ilivyo andikwa hapa kwahiyo atakua mtu huyohuyo anajaribu kuchochoea moto huyu
  10. Brown73

    Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani ahudhuria hafla ya kumuapisha Rais Magufuli Dodoma, asema ni ishara kuwa uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi mbili hautetereki

    Huyu mtu inaonekana kabisa ni mmoja wao waliotumbuliwa bila ganzi, sasa ana weweseka, anatamani litokee lolote ile ili mradi ile hali ya zamani imrudie tena.
  11. Brown73

    Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

    Hapa nionavyo mimi na wenzangu wengine hapa na ni baadhi ya wanachadema ni kwamba wafuasi wengi wa chadema waliona vishindo vya ccm kwenye kampeni zao na wakujua kwamba hapa hakuna ushindi kwa chadema kwahiyo wakaamua kuacha kupiga kura maana waliona ni kupoteza muda ndio maana kura za Lisu...
  12. Brown73

    Uchaguzi 2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Uko sahihi kabisa. Wapinzani inabidi wajipange upya, tena waje na vijana wapya, na waache masuala ya kupinga kila kitu, Kuna kupinga lakini waangalie kwnaza wanapinga nini, na wapi. Kipindi cha corona ndio chadema walipoteza watu wengi sana.
  13. Brown73

    Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Yaani huna tofauti kabisa hawa wanyama wanao mwaga damu whether watakua chadema au ccm.
  14. Brown73

    Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Kwahiyo umeshajitayarisha kabisa kuendelea kumwaga damu??? Hawa wanasiass wenu wananichezea akili kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe tena bahati nzuri au mbaya wenu hao wachedema wamejitokeza na kutoa ushahidi kwamba wamechoma wenyewe ofisi.. Na mbona husemi hao wa com walioumizwa. Kwa mawazo yako...
  15. Brown73

    Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Watanzania wengi wanataka kua na maisha mazuri lakini hawajui maisha mazuri yanapatikanaje, wanadhani kila kitu kinajileta tu, hata gharama ya kuendesha afya hawa jui inapatikana vipi, wandhani kodi inayokusanywa ndio italipia kila kitu. Hawajui utalii unahitaji kitugani ili tuweze kuwavutia...
  16. Brown73

    Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Lakini tunahitaji chama imara, ambacho kitaonyesha uhuru, demokrasi na ushirikiano ndani yake kwanza
  17. Brown73

    Uchaguzi 2020 Natoa onyo la mwisho kabisa kwa Tundu Lissu

    Hilo wala sikatai, serikali lazima iwajibike, lakini na pia wapewe ushirikiano,
Back
Top Bottom