Search results

  1. M

    Nchi yahamia Dodoma

    Ngarambe ya kisiasa imehihamishia Nchi mjini Dodoma, Imeandikwa na Kiogo Mpina; Hali ya joto la kisiasa linavyopanda,limepanda na watanzania wote wanashauku ya kutaka kujua ni nani Atakayechukua mikoba ya Jakaya kikwete kukimbiza kijiti kwa upande wa CCM. Ni kama nchi nzima ipo hapa Dodoma...
  2. M

    Dodoma yawaka moto, ni safari ya matumaini na Tanzania mpya

    Katika kuelekea vikao vya Mkutano mkuu vya mchujo wa kupitisha wagombea hapa mjini Dodoma. Watia nia wawili kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM ) Naibu waziri sayansi na mawasiliano mh January makamba na waziri mkuu aliyejiuzulu Edward lowassa wameonekana kuziteka nyoyo za wanadodoma katika misafara...
  3. M

    January Makamba kuzungumza na wanaCCM siku ya Jumapili ukumbi wa Mlimani City

    Sasa ni zamu ya Kada machachari na kijana shupavu katika kusukuma gurudumu la maendeleo katika serikali hii ya awamu ya nne. Si mwingine ni kipenzi cha wana CCM pamoja na jamii ya watu wa rika mbalimbali wa Tanzania. Anatarajia kuzungumza na wana CCM pamoja na watanzania kuhusiana na...
Back
Top Bottom