Wadau Habari za leo?
Mke wangu alishika ujauzito baada ya siku kama 15 hivi akapata maumivu makali sana ya tumbo chini ni ya kitovu akatokwa na damu kidogo sana. Ikabidi nimpeleke hospitali akachunguzwe lakini Dr akasema mimba imetoka.
Lakini baada ya kupewa matibabu amerejea nyumbani ni...
Tangu uchaguzi wa ccm katika kumpata mgombea wa urais umalizike neno kukatwa limeanza kupungua kasi , hata wale waliotarajiwa kushinda na maelfu ya watu hawakufanikiwa kupenya katika wavu wa uliokuwa ukitumika kuwachuja wazito hao(ikidaiwa katika mitandao ya kijamii WAMEKATWA). Ikiwa ni siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.