hiyo michakato uliyotaja ndio inayofanya kukuwa kwa lugha........neno la kiswahili haliwezi kusanifshwa kabla ya kutumika, unless kuwe na uhitaji wa haraka wa neno hilo, na ndipo maneno ya mkopo na utohoaji hutokea
sautu za hayo maneno zipo katika matamshi na si maandishi............katika linguistic kuna process inaitwa ASSIMILATION dio iliyotu mika kuficha hizo sauti katika maandishi...
mother tongue is your venecular language, thelanguage u speak but it must be from where u originate......first language is the language u acquire firstly........its possible for ya mother tongue to be your first language........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.