Search results

  1. F

    Elections 2010 Ananilea Nkya amfagilia Regia Mtema

    mpaka hapa Regia wewe ni mshindi. Umethubutu na tunajua uwezo wako.
  2. F

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    @Sikonge umenikumbusha ule wimbo 'Wazungu ni wetu...walituletea shanga ...' lol!
  3. F

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Hata kabla  ya Lisa watu tulishaamua tunafanya mabadiliko kwa kuwa tuna sababu zoooote kufanya hivyo. Lisa yeye kaja kupigilia msumari wa moto kwenye kidonda kibichi. Inashangaza wasio watz kuona tunahitaji mabadiliko ilhali watz wengine hawataki kukubali kuwa JK has failed us  
  4. F

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Not anymore Dr. NYU, wengine hapa ndo tunapata joto ya jiwe, wao na familia zao neema tu. Wanaumbuka taratibuuuu.
  5. F

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    invicible, masauni and Burn, hebu u people grow up bana....have some manners bana. Siasa si kuvimiliana, sasa na mbona nyie hivo?
  6. F

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    Hupotezi chochote Burn ukimpuuza mtu... Siasa zipo tu hatuna haja ya kurushiana maneno machafu kiasi hiki. Waswahili huema 'ukishindana na mjinga ww utakuwa mpumbavu' Hebu acha haya tuendelee kujadili siasa ndugu yangu.
  7. F

    Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    Doc. Mi nikiona mwamko wa wananchi kwenye kampeni zake, moyo wangu unalia machozi ya furaha. Ni tumaini langu wanazo shahada zao.
  8. F

    Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    tshirt, kofia, khanga, pombe si mahitaji ya mtanzania...... Nimeipenda sana hii.
  9. F

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    @consultant their difference made me lol! Thank you, i was abt to burst out in anger!
  10. F

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    Pole sana, abood leo atakuwa biz na kijani na njano, panda 'hiace'.
  11. F

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    Mambo waloyazungumza ni mepesi mepesi yasokuwa na tija yoyote kwa taifa hili. Wametumia mda mwingi kumsema/kuwasema wagombea na mambo yao binafsi. Yaani ilikuwa kama huku uswazi kwetu watu wanamsema 'shoga' yao Sikutegemea Mkapa culd spit that... Kweli siasa mchezo mchafu.
  12. F

    Elections 2010 Dkt. Slaa kushinda?

    Hajipendi, yaani ajichimbie kaburi mwenyewe.... Mmachinga kageuka kuwa mkwere/mzaramo ghafla, ile mipasho si hapa. Hadija kopa katuharibia viongozi wetu lol!
  13. F

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    @ Elli yeye mwenye mke (if he is commited in that marriage n he respects)katufanyia nini ambacho twaweza tembea kifua mbele kwa majivuno leo? Hovyo kabisa, nyani haoni kundule kweli. Boriti jichoni mwake halioni, anaona kibanzi kwa mwenzie anayoyafanya gizani asifiki hayajulikani.....
  14. F

    Elections 2010 Kutoka kampeni za mwisho za CCM Jangwani

    Mwanakijiji, wale wazee ndo wamempa jk jeuri ya kutoa mipasho leo (ambayo haikuwa na maana yoyote kwangu zaidi ya kujihami na nonsense as usual), lakini above alll leo ndo nimemaliza ile chembe ya heshima nlokuwa nimebakiza kwa Mkapa.
  15. F

    Masikini Kikwete

    This definately is the force behind....
  16. F

    Rev Masanilo

    hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jasiri haachi asili Reverend
  17. F

    Makamba kung'olewa ukatibu?

    La kuvunda Katavi...................
  18. F

    Makamba kung'olewa ukatibu?

    I have the same prayer Sikonge (tusamehewe kama ni dhambi)
  19. F

    Makamba kung'olewa ukatibu?

    asante chakaza, na ndio maana hawawezi kumtoa.......japo na uvaluvalu wake unachangia
  20. F

    Elections 2010 Beyond Kikwete: Will the slighted Slaa be the star of the succession script?

    Kiranga unaonaje ukianzisha utaratibu wa kufundisha hiki 'kikoloni' anagalau kw amuda fulani kwa siku.........lol!! mimi nahisi kama unaudhika ukiona mtu haelewi kilichoandikwa kwa kiinglish. (ni hisia tu)
Back
Top Bottom