Search results

  1. J

    DOKEZO Nadai Tsh. Milioni 440 kwa Mkandarasi wa SGR. Naomba Serikali inisaidie, napigwa danadana tangu Desemba 2022

    Huyo wakukimbiliwa (serikali) ndiye mdaiwa mkuu. Tatizo kubwa la Yapi lilikuwa ni cashflow, malipo yake yalisuasua sana. Kuna kipindi alianza kulipa suppliers wake may be na huyu alishamalizana naye
  2. J

    Fahamu kuhusu Ponografia na Uchumi

    Binadamu ni hatari sana
  3. J

    CAG: Kitambulisho cha NIDA kiwe kigezo cha lazima kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo

    Ni ngumu kukusanya 100% kwani baadhi ukosa ajira lasimi na wengine ufariki
  4. J

    Vyombo vya moto vipunguze spidi barabarani hasa kwa zile ambazo watembea kwa miguu wapo wengi

    Hiyo speed ya 60km/h bado ni kubwa kwa gari kama mwendokasi, aliwezi simama kwa wepesi kutokana na uzito wake (momentum). Dereva kama dereva anatakiwa kujua mwendo ama speed ya kila eneo, mahali penye mkusanyiko speed haitakiwi kuzidi 30km/h. Ila kwa sasa madereva wengi wa magari na bodaboda...
  5. J

    Shinyanga: Kituo cha Afya chagundulika kuhifadhi Damu kwenye Majokofu ya nyumbani

    Hapo unaweza kuta mletewaji na mletaji (mzabuni) hawajui ni kitu gani kinatakiwa, pia unaweza kuta zabuni haikueleza aina ya jokofu. Probably uzembe umeanzia mbali.
  6. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Hapo kwenye katiba mpya inaonyesha kuna nguvu kubwa iliyojificha ndiyo inakwamisha. Tuitunze miradi anayo endeleza. Kuna baadhi ya barabara za DMDP zimejaa mchanga kulia na kushoto,yaani gari zinapita katikati kama mto, nazo soon zitachakaa. Taa za solar zilizowekwa maintenance yake nayo ni ya...
  7. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Si unajua sehemu kubwa ya jamii yetu inapenda uongo!
  8. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Mama kwenye hili la kuendeleza miradi amefanikiwa kwa sana
  9. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Itakuwa ni jambo jema sana. Though gharama itakuwa zaidi ya hapo kutokana na fluctuation ya dollars
  10. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Kuna kipindi tulipoteza dira. NHC nayo imepoteza dira pakubwa sana. Tunahitaji moja ya zile 4R ya mama (reform) kwenye affordable housing. Kuhusu kuhuzwa kwa Dege bado kuna mashaka, isije kuwa ni the same trick iltumika ya mv Bagamoyo
  11. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Mkuu hapo unaongelea feasibility ya huo mradi ama pre-investment. Huko tulishatoka na kinachotakiwa ni kuukwamua usiendelee kuoza. Zinatakiwa constructive ideas ili tusongo. Remember kipindi kile projects zinaanza kujengwa tulikuwa na mzunguko wa pesa wa hajabu sana, apartments nyingi zilikuwa...
  12. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Mkuu hiyo project haikuwa na ufisadi kwa kiwango cha kusimama na kubaki magofu bali ni kukomoana pamoja na kuanguka kwa biashara ya real estate inchini.
  13. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Hii nayo haijakaa vizuri kabisa. Mama kajitahidi kukwepa mtengo though bado kuna kazi kubwa ya kufanya.
  14. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Ni kweli mkuu. Inner circle ya Mama inatakiwa ije na constructive ideas ya kukwamua hizo project badala ya lawama tu. Bado kuna uhaba mkubwa wa makazi bora, projects kama hizo za Dege and the like zinatakiwa kuwa nyingi ili kujenga jamii yenye ustawi bora zaidi na kuchochea kukua kwa uchumi.
  15. J

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Brother Jidula, huu mradi haukufisadiwa, bali ni matokeo ya kukomoana pamoja na mabadiliko ya investments kwenye real estate. Angalia kawe na Morroco nayo yameachwa kama yalivyo. Busara itumika projects ziishe na kupangishwa wananchi kwa kodi nafuu na kupelekea kuboresha suala la makazi bora...
  16. J

    Kwanini ajali ya mabasi 2 na lori la mafuta kuungua moto iliotokea Mlandizi haiongelewi? Wembamba wa Morogoro Road ni janga la taifa

    Dereva anatakiwa kuendesha kulingana na hali ya barabara . Barabara nyembamba inauendeshaji wake kwa dereva anaejielewa. Tunamadereva wa ovyo sana
  17. J

    Tiba ya ugonjwa wa Pumu ya ngozi

    Pole sana. Muhimu zingatia masharti uliyopewa na ma Dr. Kwani huo ni ugonjwa wa kurithi/generational. Hakikisha anakuwa mkavu mwilini pia avae soksi za pure cotton
  18. J

    Luku yangu inawaka na units zipo ila umeme hakuna. Nini tatizo?

    Jaribu kuingiza 004 then enter uangalie inasoma voltage ngapi (kwa baadhi ya meters)
  19. J

    Luku yangu inawaka na units zipo ila umeme hakuna. Nini tatizo?

    Meter yako itakuwa ni ya kisasa. Kukiwa na umeme mkubwa (high voltage) zaidi ya 240 inazuia umeme usitoke nje ya meter na kuingia kwenye matumizi
Back
Top Bottom