Search results

  1. Ntenya

    Kanda ya ziwa wanawake wa kisukuma ni wife material

    Naunga mkono 100% coz nawaelewa.
  2. Ntenya

    Ushauri : Ujauzito wa my wife unanipelekea nitake kuchepuka

    Haya yote uliyoandika hapa mtoto wako ajaye ameyasikia. Keep it up!!
  3. Ntenya

    Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

    Nimekusoma mkuu
  4. Ntenya

    Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

    Sawa kimchepuko zaidi
  5. Ntenya

    Nilipanga kumuoa Januari, nimeahirisha

    Women are not to be trusted nowadays
  6. Ntenya

    Kutoka mke mtarajiwa hadi mchepuko

    Wanawake ni vigeugeu sana. Kama alivyogairi kufunga ndoa na wewe ndivyo atakavyokuja gairi kuendelea na wewe. Hapo utakuwa huna familia tena na watoto wanateseka. Stay focused!
  7. Ntenya

    Stupid things men do in relationship

    Mtoa maada if u dont apply those things kwa wadada hawa wapenda fedha, mikoko, maisha ya kuparty kila siku na anasa zote. Tegemea maumivu 90%
  8. Ntenya

    Ushauri unahitajika, nitaepukaje hili?

    Ngono zembe ni hatari 'MKE WA MTU SUMU' subiri ukitembezwa uchi mtaa mzima kwa kuchepuka na mke wa mtu ndo uje uombe ushauri.
  9. Ntenya

    Aliniacha sasa ananisumbua

    Mkuu hili swala si la kuomba ushauri, inaonekana badi unamtaka. Kama humtaki kweli usipokee simu au mweke blacklist
  10. Ntenya

    Je, ni kukosa fadhila au ndo mambo ya damu nzito kuliko maji?

    Tatizo bw. G. Jacob ni kwamba, wafadhiliwa wengi huwa wanajisahau na kuanza kuangalia yale mapungufu modogomdogo yaliyokuwepo kwa mfadhili wake bila kujali ukubwa wa fadhira alofanyiwa. Ni mbaya sana
  11. Ntenya

    Sijui nifanyaje?

    Uchumba gani mwaka mmoja na nusu kachoka huyo tafta mwingine ufunge ndoa fasta.
  12. Ntenya

    Naombeni ushauri kwa yaliyonikuta

    Umemfundisha mwenyewe ulevi harafu unalalamika. Pombe dili, nawe kunywa umpige si mmezoeshana pombe.
  13. Ntenya

    Nimeshindwa kufanya mapenzi

    Ndo shida ya kuchepuka na wapenzi wa watu..
  14. Ntenya

    Chezea mabinti wa mjini wewe, utabaki mtupu

    Siku nyingine mwambie mkutane kituo cha daladala
  15. Ntenya

    Ananifanya wa Ziada, Je Nimfanye wa Dharura?

    Division five utawajua tu.
  16. Ntenya

    Nashare penzi na Jini

    Hujitambui wewe, mpokee yesu kwanza kesi yako ndogo.
  17. Ntenya

    Jinsi ya kupata Mwanamke

    Mi mgeni maeneo haya napita tu..
Back
Top Bottom