Search results

  1. Ramwai

    Bibi wa Miaka 72 Azaa na Mjukuu Wake

    - kama wote wameridhia kuwa wapenzi, let them enjoy jamani. - kwani penzi halichagui
  2. Ramwai

    Bibi wa Miaka 72 Azaa na Mjukuu Wake

    i was away plz 4give.
  3. Ramwai

    Nahitaji hata za kichina

    huyo mkeo akili yake sio nzuri, mpeleke akaombewe
  4. Ramwai

    Tupewe na risiti jamani!

    _ wala dawa sio kuoa kwn hata akioa aweza kwenda tafuta vinavyouzwa Tabia haina dawa
  5. Ramwai

    Malezi ya leo

    - Huyo nyaningabu ni mtoto au mkubwa?
  6. Ramwai

    Wanaume, wamekuwaje jamani!!!!

    _ Hata cha kulumbana hapa sikioni, kwan ukishamopa na limtu likajikata wewe unalitaka la nini?achana nalo liisjie huko huko
  7. Ramwai

    fumanizi

    _ Alienda kumpa pole staff mwenzie pole alikuwa anaumwa, then mume akarudi gafla akahisi mkewe anajidai anaumwa ili agawe ngono
  8. Ramwai

    Anaomba Ushauri (very interesting)

    - mmhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!:becky:
  9. Ramwai

    Mwanamke anayejiweza kimaisha

    - Kusema ukweli mimi nikiwa kama mzazi sikubali mwanangu awe na Kauwezo kake halafu anapata mwanaume mlofa kisha nimkubalie aoe mwanangu,NEVER sikubali kbs. Lofa atafute malofa wenzie Na huo ndio ukweli vinginevyo ndoa hiyo haitadumu. tumeshuhudia ndoa nyingi sana za aina hiyo. - Turudi kwenye...
  10. Ramwai

    Majeneza yanayoundwa kwa sanaa tofauti Ghana

    - wapo bomba,ila sasa mfu hutengenezewa jeneza kufuatia kigezo gani? - Nikiwa na maana kuwa je hujichaguli amwenyewe kabla ya umauti au?
  11. Ramwai

    Warembo wa Wiki..

    - Hv wanatumia vigezo gani kuwachagua, mm mbona naonaga hawana mvuto, kwanza wanajikondesha mno, Hivi mrembo nihadi ukonde?
  12. Ramwai

    Ukisikia songombingo hii hapa..!!

    - Mhh!! kwanza ukikumbana nalo kweli utakuwa na nguvu hata ya kunyanyua mguu, siutakufa kwa kiwewe
  13. Ramwai

    Sua

    - Atakuwa kabila gani huyo? yaelekea lafudhi ndoimemuathiri
  14. Ramwai

    A man of men?!

    - Kumbe lina tabia za kishenzi puuuuuuuuuuu!!!! - Hebu liondoshwe hapo lishindwe na likalegezwe kbs
  15. Ramwai

    Haya muangalieni shemeji yenu huyoo

    - Sio kudhalilisha, huo ndio utamaduni wao, na wao hujionea kawaida tu. - Tatizo kwako mtazamaji kama una mawazo tofauti
  16. Ramwai

    Cooking while drunk

    - kha kwelikweli vile ni vidole vikatwe vile? wapi damu au ukinywa damu huganda:eyeroll2:
  17. Ramwai

    Huyu jamaa bado yumo kwenye gemu!!

    - Huyu nae bwana, mbonamiminaona kachoka ile mbaya:eyeroll2: si akae tu apumzike,au anataka wammalizie tena macho
  18. Ramwai

    Sanaa ya vidole

    watu wana shughuli, sasahawa wanabunije hivi:eyeroll2:
  19. Ramwai

    VIDEO - Maajabu ya Dunia - 'Mtu Nusu' Apata Mtoto

    Mungu ni muweza yote, Acheni mamboya kumchunguza chunguza Kenny, huyo baby ni wake nadhani angekuwa hana jinsia hata mpenzi asingekuwa nae, mbona anaonekana yupo fit kabisa na ameumbika kiume haswaaaaaaaaaaa, Yaani tooso handsome
  20. Ramwai

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    1. Kipande cha ndimu unasugua kwapani ukimaliza kuoga kinaondoa harufu. 2. Nyanya unaisaga then unapaka kwapani nayo huondoa kikwapa. 3. Sufuria uliyosongea ugali unailoweka, yale maji uliyolowekea unapakaza kwapani mara utokapo bafuni Zipo njia nyingi za kiasili, ila inategemea na jinsi mtu...
Back
Top Bottom